Kishore Kumar Hits

Ukhty Dyda - Cheza Sherekhe Na Mama şarkı sözleri

Sanatçı: Ukhty Dyda

albüm: Vigelegele

Cheza sherehe na mama eeh, Cheza shere na mama
Cheza sherehe na mama eeh, Cheza sherehe na mama
Mama Khadija yuwapi, Ausafishe uwanja
Mama Khadija yuwapi, Ausafishe uwanja aaah
Cheza sherehe na mama eeh, Cheza shere na mama
Cheza sherehe na mama eeh, Cheza sherehe na mama
Mama Harusi yuwapi, Ausafishe uwanja
Mama Harusi yuwapi, Ausafishe uwanja aaah
Mpeni nafasi mama eeh, Mpeni nafasi mama
Mpeni nafasi mama eeh, Mpeni nafasi mama
Mama Khadija njoo, Uusafishe uwanja
Mama Khafmdija sogea, Waoneshe unavyotamba aah
Cheza sherehe na mama eeh, Cheza shere na mama
Cheza sherehe na mama eeh, Cheza sherehe na mama
Mama Harusi yuwapi, Ausafishe uwanja
Mama Harusi yuwapi, Ausafishe uwanja aaah
Mama wa kambo ni mama eeh, Naye pia atamuona
Mama Mayasa ingia eeh, Wausafishe uwanja
Mama mayasa ingia, Uusafishe uwanja
Mama mayasa sogea, Waoneshe unavyotamba aah
Cheza sherehe na mama eeh, Cheza shere na mama
Cheza sherehe na mama eeh, Cheza sherehe na mama
Mama Harusi yuwapi, Ausafishe uwanja
Mama Harusi yuwapi, Ausafishe uwanja aaah
Mama wakubwa njooni eeh, Mama wakubwa njooni
Mama Subira ingia eeh, Mama Subira ingia
Mama wakubwa sogea, Muusafishe uwanja
Mama Subira sogea, Waoneshe unavyotamba
Cheza sherehe na mama eeh, Cheza shere na mama
Cheza sherehe na mama eeh, Cheza sherehe na mama
Mama Harusi yuwapi, Ausafishe uwanja
Mama Harusi yuwapi, Ausafishe uwanja aaah
Mama Subira uwapi eeh, Mama Hamad uwapi
Na mama A'lly uwapi eeh, Mama Shufaa uwapi
Na mama Sada ingia, Uusafishe uwanja
Mama harusi sogea, Muoneshe unavyotamba
Cheza sherehe na mama eeh, Cheza shere na mama
Cheza sherehe na mama eeh, Cheza sherehe na mama
Mama Harusi yuwapi, Ausafishe uwanja
Mama Harusi yuwapi, Ausafishe uwanja aaah
Mashangazi mungeingia aah, Vigelegele kutoa
Mashangazi mungeingia aah, Vigelegele kutoa
Ni Shangazi Shada Juma, Nawe pia furahia
Shangazi eeh Sada Juma, Waoneshe unavyotamba
Cheza sherehe na mama eeh, Cheza shere na mama
Cheza sherehe na mama eeh, Cheza sherehe na mama
Mama Harusi yuwapi, Ausafishe uwanja
Mama Harusi yuwapi, Ausafishe uwanja aaah
Shoga Khadija Rajabu eeh, Shoga Salha ingia
Shoga Khadija Rajabu eeh, Shoga Salha ingia
Mashoga mungeingia, Muusafishe uwanja
Mashoga tembeni pia, Waoneshe wanavyotamba
Cheza sherehe na mama eeh, Cheza shere na mama
Cheza sherehe na mama eeh, Cheza sherehe na mama
Mama Harusi yuwapi, Ausafishe uwanja
Mama Harusi yuwapi, Ausafishe uwanja aaah
Zamu ya madada harusi eeh, Dada Rizik uwapi
Dada Mamu kwa nafasi, Na dada Ruqaiya upesi
Dada Rizik ingia, Uusafishe uwanja
Dada mamu furahia, Ruqaiya nawe tamba
Cheza sherehe na mama eeh, Cheza shere na mama
Cheza sherehe na mama eeh, Cheza sherehe na mama
Mama Harusi yuwapi, Ausafishe uwanja
Mama Harusi yuwapi, Ausafishe uwanja aaah
Mama khadija yuwapi, Uusafishe uwanja
Ah Mama Khadija yuwapi, Uusafishe uwanja
Mama Khadija mnamjuaa, Aaah Hatumjui
Mama Khadija mnamjuaa, Aaah Hatumjui
Mama Khadija mnamjuaa, Aaah Hatumjui
Mama Khadija mnamjuaa, Aaah Hatumjui
Mama khadija ingia ucheze,
Ingia ucheze Ingiaaaa aah Ushangilie Harusi leo
Mama khadija ingia ucheze,
Ingia ucheze Ingiaaaa aah Ushangilie Harusi leo
Ndugu harusi mnawajua, Aaah Hatuwajui
Ni Wahida mnamjua, Aah Hatuwajui
Na Zuwena mnamjua, Aah Hatuwajui
Naye Rahma mnamjua, Aah Hatuwajui
Dada Wahida ingia ucheze,
Ingia mucheze Ingiaaaa aah mushangilie Harusi leo
Aziza na Subira ingieni mucheze,
Ingia mucheze Ingiaaaa aah mushangilie Harusi leo
Mama wa upande wa baba mnawajua, Aaah Hatuwajui
Ni mama sayda mnamjua, Aah Hatuwajui
Na mama Suhabah mnamjua, Aah Hatuwajui
Jamani Mama mnawajua, Aah Hatuwajui
Mama Sayda ingia ucheze,
Ingia mucheze Ingiaaaa aah mushangilie Harusi leo
Na mama Suhabah ingia mucheze,
Ingia mucheze Ingiaaaa aah mushangilie Harusi leo
Bibi zake mnawajua, Aaah Hatuwajui
Bibi Raya mnamjua, Aah Hatuwajui
Na bi Mariam mnamjua, Aah Hatuwajui
Wifi harusi mnawajua, Aah Hatuwajui
Bibi zake ingieni mucheze,
Ingia mucheze Ingiaaaa aah mushangilie Harusi leo
Bi Mariam Bi Raya ingieni mucheze,
Ingia mucheze Ingiaaaa aah mushangilie Harusi leo
Wifi mariam mnamjua, Aaah Hatuwajui
Na wifi fatuma mnamjua, Aah Hatuwajui
Na ndugu zake mnawajua, Aah Hatuwajui
Ndugu Wahida mnamjua, Aah Hatuwajui
Ndugu Wahida ingia mucheze,
Ingia mucheze Ingiaaaa aah mushangilie Harusi leo
Ndugu Zuwena ingia mucheze,
Ingia mucheze Ingiaaaa aah mushangilie Harusi leo
Ndugu Wahida mnamjua, Aaah Hatuwajui
Na ndugu Zuwena mnamjua, Aah Hatuwajui
Ndugu Rahma mnamajua, Aah Hatuwajui
Na ndugu Aziza mnamjua, Aah Hatuwajui
Ndugu Subira ingia ucheze,
Ingia mucheze Ingiaaaa aah mushangilie Harusi leo
Ndugu Harusi ingieni mucheze,
Ingia mucheze Ingiaaaa aah mushangilie Harusi leo
Dada Rizik mnamjua, Aaah Hatuwajui
Na dada Mamu mnamjua, Aah Hatuwajui
Na Ruqaiya mnamjua, Aah Hatuwajui
Madada harusi mnawajua, Aah Hatuwajui
Dada harusi ingieni mucheze,
Ingia mucheze Ingiaaaa aah mushangilie Harusi leo
Far'han group ingieni mucheze,
Ingia mucheze Ingiaaaa aah mushangilie Harusi leo
Mama zetu mnawajua, Aaah Hatuwajui
Mama Subira mnamjua, Aah Hatuwajui
Na mama Hamad mnawajua, Aah Hatuwajui
Mama Ally mnamjua, Aah Hatuwajui
Mama Shufaa ingia ucheze,
Ingia mucheze Ingiaaaa aah mushangilie Harusi leo
Na mama Sada ingia ucheze,
Ingia mucheze Ingiaaaa aah mushangilie Harusi leo
Harusi ya mwanangu nacheza leo ooh
Ooooh Nacheza leoo Ooh
Harusi ya mwanangu natamba leo ooh
Ooooh Natamba leoo Ooh
Ooooooh, Wameinamaaa
Eeeeeeeh, Wameinukaaa
Ooooooh, Wameinamaaa
Eeeeeeeh, Wameinukaaa
Harusi ya mwanangu nacheza leo ooh
Ooooh Nacheza leoo Ooh
Harusi ya mwanangu natamba leo ooh
Ooooh Natamba leoo Ooh
Ooooooh, Wameinamaaa
Eeeeeeeh, Wameinukaaa
Ooooooh, Wameinamaaa
Eeeeeeeh, Wameinukaaa
Lalalaaa, Lalalailaaaa
Lalalaaa, Lalalailaaaa
Lalalaaa, Lalalailaaaa
Lalalaaa, Lalalailaaaa
Lalalaaa, Lalalailaaaa
Wanafamily tutambe, Tutambe tujiachie
Wanafamily tutambe, Tutambe tujiachie
Aah Wanafamily tutambe, Tutambe tujiachie
Wanafamily tutambe, Tutambe tujiachie
Wanafamily tutambe, Tutambe tujiachie
Wanafamily tutambe, Tutambe tujiachie
Wanafamily tutambe, Tutambe tujiachie
Wanafamily tutambe, Tutambe tujiachie
Ah Wanafamily tutambe, Tutambe tujiachie
Wanafamily tutambe, Tutambe tujiachie
Wanafamily tutambe, Tutambe tujiachie
Wanafamily tutambe, Tutambe tujiachie eeh... Lulululuuuu

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar