Nasema moto moto(moto)
Tunauwasha(moto)
Hauzimiki(moto)
Nasema moto(moto)
Jamani moto moto(moto)
Watoto wa Tandale(moto)
Watoto wa Kinondoni(moto)
Wanangu wa Mbagala(moto)
Asa timua vumbi
Oga vumbi
Wahuni vumbi
Mi sijaona vumbi
Watimulie vumbi, We!
Asa koboa koboa, naisaga
Naikoboa koboa, naisaga
Nasema koboa koboa, naisaga
Asa koboa koboa, naisaga
Twende koboa koboa, naisaga
Yaani koboa koboa,naisaga
We ikoboe kwa chini, naisaga
Naikoboe kwa juu, naisaga
We ikoboe kwa mbele, naisaga
Eeh ikoboe kwa nyuma, naisaga
Aruup!
Oya ni bia tu moja imemponza
Kimbele mbele
Kajipeleka tu mwenyewe hajatongozwa
Kimbele mbele
Majambo, wamemnawa
Wahuni, wamemnawa
Oh wazee wa chodo, wamemnawa
Wakimakondi, wamemnawa
Wakandundindu, wamemnawa
Wale pale, wamemnawa
Wajerumani, wamemnawa
Wazee wa ndindi
Moto moto(moto)
Moto moto(moto)
Moto moto(moto)
Moto moto(moto)
Поcмотреть все песни артиста
Sanatçının diğer albümleri