Kishore Kumar Hits

Emachichi - Kazi Yangu şarkı sözleri

Sanatçı: Emachichi

albüm: Kazi Yangu


Kazi yangu ikiisha, nami nikiokoka
Na kuvaa kutokuharibika
Nitamjua mwokozi nifikapo ng'amboni, atakuwa wa kwanza kunilaki
Nitamjua nitamjua nikimwona uso kwa uso
Nitamjua nitamjua kwa alama za misumari
Furaha nitapata nikiona makao
Bwana aliyoyatwandalia
Nitamsifu mwokozi kwa rehema na pendo vilivuo nipa pahali mbinguni
Nitamjua nitamjua nikimwona uso kwa uso
Nitamjua nitamjua kwa alama za misumari
Nao waliokufa katika bwana yesu
Nitawaona tena uko juu
Lakni nifikapo kwake uko mbinguni
Nataka kumwona mwokozi kwanza
Nitamjua nitamjua nikimwona uso kwa uso
Nitamjua nitamjua kwa alama za misumari
Milangoni mwa mji bwana atanipisha
Pasipo machozi wala huzuni
Nitauwimba wimbo wa milele lakni
Nataka kumwona mwokozi kwanza
Nitamjua nitamjua nikimwona uso kwa uso
Nitamjua nitamjua kwa alama za misumari
Kazi yangu ikiisha, nami nikiokoka
Na kuvaa kutokuharibika
Nitamjua mwokozi nifikapo ng'amboni, atakuwa wa kwanza kunilaki
Nitamjua nitamjua nikimwona uso kwa uso
Nitamjua nitamjua kwa alama za misumari

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar