Kishore Kumar Hits

Ambassadors Of Christ Choir - Mungu Wangu şarkı sözleri

Sanatçı: Ambassadors Of Christ Choir

albüm: Tugire Urukundo


Mungu wangu mfalme wangu
Sikia maombi ya wana wako x2
1: dunia yetu mungu baba...
Imajaa mayowe...
Imejaa maovu na ukatili...
Shetani ameshasimama anayohasiraaaa
Anatutega mitego njoo mungu tuokoe
Mungu wangu mfalme wangu sikia maombi ya wana wako
Mungu wangu mfalme wangu sikia maombi ya wanao wako
2: afrika yeako mungu baba imejaa majutooo
Majonzi ni mengi...
Hakuna mwenye amani...
Kuanzia mashariki mapigano hayaishi.
Ni umwagaji damu nani atuponye hayo
REPEAT 3: wakati huu tuliomo ni ule uliotabiriwa watu uliowaumba wamegeuka wanyama... hufurahishwa na uovu kuona wanaumizwa
Mungu baba mponyaji wahi kutuokoa...

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar