Kishore Kumar Hits

Ambassadors Of Christ Choir - NIMEKUPATA YESU şarkı sözleri

Sanatçı: Ambassadors Of Christ Choir

albüm: ALBUM 17


Nime kupata yesu,
Nimepata yote,
Nimekupata bwana,
Sitahitaji tena aah,
Wewe, ndiwe hitaji langu,
Ngome yangu na mwamba
Tengemeo langu katika hali
Jaza moyo wangu, upendo nikupende,
U rafiki wa kweli,
Nifundishe kupenda aah,
Bwana, maana upendo wako,
Ndio pekee waweza,
Kunifanya kiumbe kipya nikakufuate
Natamani nitembee katika upendo wa bwana,
Upendo ule wa dhati,
Upendo husiobagua,
Upendo uletao hekima, busara na amani,
Upendo wakimbingu
Pekee ulio bora
Natamani nitembee katika upendo wa bwana,
Upendo ule wa dhati,
Upendo husiobagua,
Upendo uletao hekima, busara na amani,
Upendo wakimbingu
Pekee ulio bora
Wapenzi wa kulia,
Wengi ni wadanganyifu,
Niwapo katika hali zuri tuko wote eeh,
Lakini katika matatizo,
Wote wanikimbia,
Wewe nimekupata nitakushikilia
Natamani nitembee katika upendo wa bwana,
Upendo ule wa dhati,
Upendo husiobagua,
Upendo uletao hekima, busara na amani,
Upendo wakimbingu
Pekee ulio bora
Natamani nitembee katika upendo wa bwana,
Upendo ule wa dhati,
Upendo husiobagua,
Upendo uletao hekima, busara na amani,
Upendo wakimbingu
Pekee ulio bora

Nakukaribisha bwana,
Uyatawale maisha,
Yetu yakila siku,
Tufundishe kupanda aa, mbegu
Za upendo wa dhati,
Mwisho wa nyakati,
Tuweze kuvuna matunda ya ukamili
Kamilisha upendo, mungu aliohadaa
Dumisha ndoa zao furaha itawale,
Bwana, pembeni za unyonge na udhaifu,
Wao familia iwe mwanga wa mbingu ku
Natamani nitembee katika upendo wa bwana,
Upendo ule wa dhati,
Upendo husiobagua,
Upendo uletao hekima, busara na amani,
Upendo wakimbingu
Pekee ulio bora
Natamani nitembee katika upendo wa bwana,
Upendo ule wa dhati,
Upendo husiobagua,
Upendo uletao hekima, busara na amani,
Upendo wakimbingu
Pekee ulio bora
Natamani nitembee katika upendo wa bwana,
Upendo ule wa dhati,
Upendo husiobagua,
Upendo uletao hekima, busara na amani,
Upendo wakimbingu
Pekee ulio bora

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar