Kishore Kumar Hits

Ambassadors Of Christ Choir - Kule Ngambo şarkı sözleri

Sanatçı: Ambassadors Of Christ Choir

albüm: Bwana Twaomba


Kule ng'ambo ya mto
Mambo ni sawasawa
Ng'ambo ya mto mambo ni sawasawa
Ng'ambo ya matatizo
Mambo mi barabara
Ngambo ya matatizo mambo ni sawasawa
Twapita wakati mgumu
Eeeeeehhhh maisha magumu yenye shida
Magonjwa makali
Yasiyotibika
Kila jamii yaathirikaaaaaaaa
Yapo umaskiniii viita vyaifunika dunia
Tumezingirwa na shida oooooohhh shida
Vilio kila sikuu
Lakini ndugu jipeni moyo
Sioo mbali tutavukaaaa
Kule ng'ambo ya mtoo
Hizi shida zote tutazisahauuu eeeeeeehhhhhhhh
Kule ng'ambo ya mtoo
Mambo ni sawa sawa
Ng'ambo ya mto mambo ni sawasawa
Ng'ambo ya matatizo
Mambo ni barabara
Ng'ambo ya matatizo mambo ni sawasawa
Kule ng'ambo ya mtoo
Mambo ni sawasawa
Ng'ambo ya mto mambo ni sawasawa
Ng'ambo ya matatizo
Mambo ni barabara
Ng'ambo ya matatizo mambo ni sawasawa
Huruma yatoweka nduguuuuuuuu
Watu hawahurumiani tenaaaaaaaa
Bunduki ya leo kuua kwa risasi
Ni kama kucheza kandandaaaaaa
Hofu yawakabiri watuuuu
Aaaacha we hapa hakuna amaniiii
Matajiri kuwa nyanyasa wale maskini
Ndio wimbo wa leoooo
Lakini ndugu jipeni moyo
Sio mbali tutavukaaaaaaa
Ooooohhh
Kule ng'ambo ya mto
Hizi shida zoote
Tutazisahauuu heeeeeeee
Kule ng'ambo ya mto
Mambo ni sawa sawa
Ng'ambo ya mto mambo ni sawasawa
Ng'ambo ya matatizo
Mambo ni barabara
Ng'ambo ya matatizo mambo ni sawasawa
Kule ng'ambo ya mto
Mambo ni sawasawa
Ng'ambo ya mto mambo ni sawasawa
Ng'ambo ya matatizo
Mambo ni barabara
Ng'ambo ya matatizo mambo ni sawasawa
Ng'ambo ya matatizo
Mambo ni barabara
Nga'mbo ya matatizo mambo ni sawasawa

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar