Kishore Kumar Hits

Ambassadors Of Christ Choir - Natamani şarkı sözleri

Sanatçı: Ambassadors Of Christ Choir

albüm: Bwana Twaomba


Natamani kufika kwenye ile nchi nzuri
Tuloahidiwa naye mungu wetu .
Imejaa mazuri
Zaidi ya tuyaonayo watakao ingia ni wale walioshinda.
Jua wala mwezi haitaangaza
Yesu ndiye ataangaza milele
Tutakaa naye muumbaji wetu
Tumuone mfalme tuzungumze naye

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar