Niwe vipi Nishatubu, nishasulubiwa Imebidi nihesabu subira Imezidi, najitolea najikwaa Jikwa Jikwa 'jikwa 'jikwa Oh niwe vipi Niwe mtupu, niwe bila Imebidi niwe mkavu kila kila Imezidi, najitolea najikwaa 'Jikwa 'jikwa'jikwa 'jikwa Hasira hasira hasara Niwe mpole, Niwe yaani kama mi nina mabawa Astaghfirullah Ya ni' na usipopigana Utajipata we nd'o una jeraha Jeraha jeraha jeraha Hasira-hasira hasara Hasi-hasira ni silaha Hasira hasara Hasih-asira ni silaha silaha Tiki tiki bomu Mawingu radi na homu Na sina hata ngao (Ohh) Maisha ina maovu Mishale tu na makovu Ugomvi nd'o makao Kusema ukweli Amani ilienda na meli (Ilienda na meli) Kusema ukweli Amani ilienda na meli Kusema ukweli Amani ilienda na meli Kusema ukweli Amani ilienda na meli Hasira hasira hasara Niwe mpole, Niwe yaani kama mi nina mabawa Astaghfirullah Ya ni' na usipopigana Utajipata we nd'o una jeraha Jeraha jeraha jeraha Hasira hasira hasara Hasi-hasira ni silaha Silaha Hasira hasira hasara Hasi-hasira ni silaha Silaha, silaha