Kishore Kumar Hits

Elie Bahati - Mungu Tu şarkı sözleri

Sanatçı: Elie Bahati

albüm: NZAKOMEZA


Kuna mengi twayaona kama mambo ya kawaida
Mengi twayapata twaona ni kwa nguvu zetu
Mengi sana twayapitia twasahau anaye tulinda
Saa zengine na hii pumzi twazani tumejipea
Ila kuna yeye anaye fanya hayo yote
Kuna yeye atendaye hayo yote
Kuna yeye anaye fanya hayo yote
Kweli kuna yeye atendaye hayo yote
Ni Mungu tu
Ni Mungu tu
Afanyaye hayo yote
Ni Mungu Tu
Ni Mungu tu
Ni Mungu tu
Atulindaye siku kwa siku
Ni Mungu Tu
Ni Mungu tu
Ni Mungu tu
Afanyaye hayo yote maishani haya
Ni Mungu Tu
Ni Mungu tu
Ni Mungu tu
Atulindaye sote
Ni Mungu Tu
Si kwa bahati ama kwa nguvu zangu
Ni neema yake tu yeye anaye niwezesha
Na wanapo niuliza siri gani nimetumia
Natabasamu nikiangalia juu, nasema
Ni MUNGU TU
Maana ni yeye anayefanya hayo yote
Kweli ni yeye aliye tenda hayo yote
Ni yeye aliye fanya hayo yote
Na ni yeye tu atendaye hayo yote
Ni Mungu tu
Ni Mungu tu
Afanyaye hayo yote
Ni Mungu Tu
Ni Mungu tu
Ni Mungu tu
Afanyaye hayo yote
Ni Mungu Tu
Baraka twapewa siku kwa siku
Mafanyikio twafanyikiwa, yote ni Mungu tu
Ata kwenye shida za dunia
Anayetuwezesha katupa nguvu za kuendelea
Safari twasafiri salama
Na twarudi nyumbani salama, yote ni Mungu tu
Si kwa matendo mazuri, ama kuwapitia wengine
Ila yote ni neema na rehema zake
Na nyuma ya kila jasho na mucoko wa mwili
Kulikuwa mkono wake wa rehema
Wa kunisaidia katika mambo mengi
Amenijaza uvumilivu, akanipa amani
Amenipa wokovu, ni Mungu tu, sifa zimurudiliye

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar