▶▶ALFAJIRI YA KUPENDEZA Alfajiri ya kupendeza, ni siku njema siku yenye baraka, Jua limekwishachomoza, laamsha wote waliolala Ndege nao wanalialia kumshukuru Muumba (njooni) { Njooni baba, mama na watoto Njoni wote mbele za Bwana Tumtolee shukrani zetu, kwa kutoa sadaka } Ndege wanamshukuru, kwa sauti za kupendeza Na sisi tumshukuru, kwa zawadi alizotupa (njooni) ##(Kiitikio) Alfajiri ya kupendeza, ni siku njema siku yenye baraka, Jua limekwishachomoza, laamsha wote waliolala Ndege nao wanalialia kumshukuru Muumba (njooni) { Njooni baba, mama na watoto Njoni wote mbele za Bwana Tumtolee shukrani zetu, kwa kutoa sadaka } Wanyama pia na mimea, vyote vimeumbwa na Mungu Vitu vyote vya duniani, vyapaswa kumshukuru Mungu (njooni) ##(Kiitikio) Alfajiri ya kupendeza, ni siku njema siku yenye baraka, Jua limekwishachomoza, laamsha wote waliolala Ndege nao wanalialia kumshukuru Muumba (njooni) { Njooni baba, mama na watoto Njoni wote mbele za Bwana Tumtolee shukrani zetu, kwa kutoa sadaka } Kaiumba dunia hii, kaweka giza pia mwanga Mchana tufanyeni kazi, usiku na tupumzike (njooni) ##(Kiitikio) Alfajiri ya kupendeza, ni siku njema siku yenye baraka, Jua limekwishachomoza, laamsha wote waliolala Ndege nao wanalialia kumshukuru Muumba (njooni) { Njooni baba, mama na watoto Njoni wote mbele za Bwana Tumtolee shukrani zetu, kwa kutoa sadaka }