Kishore Kumar Hits

TID - Nilikataa şarkı sözleri

Sanatçı: TID

albüm: Nilikataa


Oh, oh
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we
Uh, walisema demu wangu kwamba wewe kicheche
Uh, magari ya kifahari yanakupa mawenge
Uh, kumbuka mapenzi yangu hakuna zaidi ya wewe
Uh, maneno mengi hayavunji mfupa
Maneno ni mengi mwenzio siwezi, usingizi sipati
Najuta mapenzi kupenda sitaki tena unanipa wazimu
Maringo ni yako yananipa wakati, wakati uuh
Sasa mimi, nimekubaliii we
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali
Uh, unajifanya mjanja
Uh, kumbe bonge la mshamba
Uh, unadaka mikwanja
Uh, kumbe demu wa viwanjaa
Gheto usije, demu mapepe
Full kicheche, oh, oh
Kataya sipe najuta kupenda, ulichonitenda, yeah
Uliniacha mi mpweke ukisubiri niteseke
Kina fulani wanicheke darling, yeah, yeah
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we
Sikia love imegeuka glass mara tugonge cheers
Silipi kisasi na nitatoka cheers
Bora nije kwa risasi umenishoot nishajifia
Ila moyo inanipain basi navumilia
Mbona mi nasikia halafu na bushit
Watu wakiniambia nawaona wazushi
Come on, message imefika ma please hit back
Kwangu malaika nafeel this track
Niko me na TID tunalia everyday
Hata kula sijisikii muulize hata master Jay
Niko tu saa zingine nakuwaza kila saa
Naona kama wana bana ukishine nakachaa
Ah, ukiwa haupo naku miss
Ila siamini nikiondoka unanidis
Nataka tuishi kwa peace
Pese mi niamini kukuacha sio rahisi
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali we
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali
Nilikataa, nilikataa
Sasa nimekubali
Sasa nime kubali
Eh, eh, oh, oh, oh, oh, nimkubali

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar