Oooh siamini Kama tuko wote Kama tuko wote Mimi na wewe Oooh siamini Kama tuko wote Kama tuko wote Mimi na wewe Wajua pendo letu lilipotoka Si mbali sana mpenzi siwezi me sema Milima na mabonde Mengi tumeshuka (ooh) Maneno mengi walisema Kote bara visiwani (oh oh) Kidani cha moyo wangu (oh oh) Sogea karibu yangu (oh oh) Maneno ya kweli kwako, siamini Ooh siamini (siamini) Kama tuko wote Kama tuko wote (oh yeah) Mimi na wewe (wewe wewe) Ooh siamini (siamini) Kama tuko wote (hoyee) Kama tuko wote (wote wote) Mimi na wewe (hoye) Taarifa hii timamu Kumbuka leo kitimutimu Tulashanapo we jangwani Na mambo ya baharini Sijiwezi asilani Mwenzio kwako taabani (oh oh) Kidani cha moyo wangu (oh oh) Sogea karibu yangu (oh oh) Maneno ya kweli kwako, siamini Ooh siamini (Ooh yee) Kama tuko wote Kama tuko wote Mimi na wewe Ooh siamini (siamini) Kama tuko wote (hoyee) Kama tuko wote Mimi na wewe (wewe) Hallo halloo Hebu nieleze Manake natokea zangu Zanzibari nafika Dar es salaama Kulakona nasikia siamini, kwani nani huyu kijana T I D, alaah kumbe weye Yu wapi eeh (hallo hallo) Yu wapi mamake harusi aje hapa tuhangaike nae Yu wapi eeh Yu wapi babake harusi aje hapa tuhangaike nae Yu wapi eeh Yu wapi kakake harusi aje hapa tuhangaike nae Aje hapa Eti aje hapa Sema aje hapa Sema tena aje hapa (oh oh) Oooh siamini (oh yeah) Kama tuko wote (wote) Kama tuko wote (oh yeah) Mimi na wewe (wewe tu) Oooh siamini Kama tuko wote Kama tuko wote Mimi na wewe Oooh siamini Kama tuko wote Kama tuko wote Mimi na wewe Oooh siamini Kama tuko wote Kama tuko wote Mimi na wewe