Madaraaaa Madaraka x2 Umenipa madaraka ya kulevya Ooh baby Nayumba nateleza Umenipa madaraka ya kulevya Oo darling Naimba napoteza x2 Mjini nimedondoka kama chopa, chopa star... Wananiita zee la makopa Zee la kulia mtoto hawezi toka Watoto wanang'oka Zangu mimi ni kung'arisha moka Napenda malight camera action Na malikes nyomi attention Nyumbani situlii na mummy Zangu ni vijiwe na kina naniii Napendaga makiki kama msanii Nanii, tukipiga picha nipost Napenda mafollowers Napendaga makiki kama msaniii Umenipa madaraka ya kulevya Ooh baby Nayumba nateleza Umenipa madaraka ya kulevya Oo darling Naimba napoteza x2 Kila nikiona kibinda mi nadinda Kila nikiona kibinda mi nawinda Kidinda kikidinda nakitia ndinda Wananiita mzee wa vibunda Na mbele zikivimba nazitoa mimba Mke wangu kila siku namtoa mapovu Nimeshaonywa sana na baba askofu Sijui shetani gani ameniingia Nimeshaombewa sana na kila parokia Na bado kila demu mkali mi narukia Nazama next door na majala Nakata kwa watoto na katoto nyumbani haa kajala Mastaa Bongo muvi wananiitaga danga Napiga mablunder Vitumbua vinanijua bingwa la kutia mchanga Napiga mablunder Naishi kama kwangu na nyumba ni ya kupanga Vitu vinaenda nganganga Umenipa madaraka ya kulevya Ooh baby Nayumba nateleza Umenipa madaraka ya kulevya Oo darling Naimba napoteza x2 Dereva nagonga miti Aaacha, hiyo si sawa dereva una mkeo Mzee nina midananda kibao Sijui kutongoza msaada ni wao Mdanada ukizingua mambao Zee la mipango Zee la majigambo Natembelea ndoa ndoano, nawavua Kijani naitia nyekundu, natibua Na urithi baba alishaniahidi, nazitumbua Ndugu wanalia nauchubua Mke wangu yuko home nguo zangu anazifua Mi niko guest flani zangu navua Umenipa madaraka ya kulevya Ooh baby Nayumba nateleza Umenipa madaraka ya kulevya Oo darling Naimba napoteza x2