Kishore Kumar Hits

Weusi - Penzi La Bando şarkı sözleri

Sanatçı: Weusi

albüm: AIR WEUSI


Yeah yeye yeeye
Yeah yeye yeye
It's S2kizzy beiby
Dollar dollar bills yoh
Dollar dollar bills yeah (Bando)
Nikikata wanapanda hewani wengine (Bando)
Unadata na hauna mtandao mwengine (Bando)
Kama haumtii wanamtia wengine (Bando)
Unatumia mtandao mmoja unatumia miwili (Bando)
Mwanaume akidata na kifurushi (Bando)
Mtoto ndo anapata kifurushi (Bando)
Naskia kufa kufa wapi ufufuo? (Bando)
Ushachezea buku huoni ufunguo (Bando)
Ulipewa penzi fupi kifurushi cha chuo (Bando)
Mtie vocha mtie aende makosa (Bando)
Ukitext wapi hayo ndo makosa
Unaulizia mafuta nenda kwa mamposa (Bando)
Penzi la bando bando (nabandikika)
Mapango ya kando kando (nabandikika)
Hivi jambo (nababdikika nabandikika)
Wakati unaweka, mwengine limekwisha
Mwingine anamkomesha
Wakati unaweka, mwengine limekwisha
Mwingine anamkomesha
Penzi la bando
Penzi la bando (sema penzi la bando)
Penzi la bando
Penzi la bando (penzi iih yeah)
Yeah, namtia Amina vocha kifurushi kwa Johari
Siogopi toa bando baba, bando sio mahari (bando)
Aah kitu staki ni kutopatikana (Bando)
Nakaa hewani kama pilot bana (Bando)
Mtoto hakupi muda bila muda wa hewani (Bando)
Huwezi mtoa sebuleni kuelekea chumbani (Bando)
Mtesa leo anakuja spidi ka ana maruani (penzi la bando ooh bando)
Kwa bando napandishwa kotini kitanda (Bando)
Kwa bando wengine walishavishwa sanda (Bando)
Taa mahusiano kibao njia panda (Bando)(yeyeyeye)
Mtandao ukishuka shetani anapanda (bandoo ooh)
Na hapo ndipo VPN chati ilipanda (Bando)
Penzi la bando bando (nabandikika)
Mapango ya kando kando (nabandikika)
Hivi jambo (nabandikika, nababdikika)
Wakati unaweka, mwengine limekwisha
Mwingine anamkomesha
Wakati unaweka, mwengine limekwisha
Mwingine anamkomesha
Penzi la bando
Penzi la bando (sema penzi la bando)
Penzi la bando
Penzi la bando (penzi mmh yeah mmh) (Bando)
Ties la kwanza huoni blueticks (Bando)
Picha linaanza vijembe status (Bando)
No money no honey kitu colours (Bando)
Roadblock (diversion) pita kushoto
Mtoto location inasoma ni magoroto
Na hapo ndio kichwa kinazidi kupata moto
Unageuka motivation speaker wa ghetto (penzi la bando ooh penzi la Bando)
Kanya sana masela kuhusu mambo ya totoz
Yeah yeye yeeye (Bando)
Yeah yeye yeeye (Bando)
Wooya wowoo wii iih (Bando)
Aah, wanavijua vifurushi shinda amri kumi
Wanahama hata likiongezeka shilingi kumi (Bando)
Mwingine la biashara mwingine la pono
Mwingine la kutongozea mwingine la masomo (Bando)
Bando bando langu wakabandua gogo
Limemweka online na wakamuona vigogo
Bando dogo shida kubwa si kidogo
Sponsor kaseviwa jina ba mdogo (Bando)
Na kule kwa sponsor ye mtoto wa ma mdogo (Bando) (mamdogo)
Yeah yeye yeeye (Bando)
Wooye wooyo wii bando (Bando)
Wakati unaweka, mwengine limekwisha
Mwingine anamkomesha
Wakati unaweka, mwengine limekwisha
Mwingine anamkomesha
Penzi la bando
Penzi la bando (sema penzi la bando)
Penzi la bando
Penzi la bando (penzi mmh naa mm)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar