Kishore Kumar Hits

Weusi - Manjee şarkı sözleri

Sanatçı: Weusi

albüm: AIR WEUSI


Y'all ready to fly? Okay
Okay, Air Weusi, okay!
Ma-rapper hawapendi sisi, ma-rapper okay
Ma-rapper hawa penny sisi, ma-rapper wa pay
Kinacho wa-pain sisi, ma-rapper wa bei
My money on the rubber band, baraka okay
Waraka wa baba mengi, waraka wa pay
Tunaipandisha game, bado mnavunja bei
Even Frank knows, corner zote tulipita tuki knock doors
We make dough
Giza, watu hawataki mimi ni manjee (yeah)
Watu wanawekaga, giza (yeah)
Watu hawataki mimi ni manjee
Watu wanawekaga, giza
Manjee manjee, day by day
Labour day wanikatie mkate
Shida ni manjee, manjee, day by day
Labour day wanikatie mkate
Mnapenda beef, beef, tufungue butcher
Tukikiwasha hakibaki cha ukucha
Ambia Sinza huku si ndo kumekucha
Nakisanua Azimio la Arusha
Aah, bonge la boflo hamuoni vitobo
Bado mnapigania kukata gogo
Akili ndogo, hamuenei vibobo
Hamfiki nusu, daily mshiko robo
Machizi wanaigiza hizo tabia, "I wanna be"
Bongo kama mbele, hamko mbele mko Z
Maisha hayanivuti, kanivuta Mwokozi
Na usishangae mwanao leo ni pusha kesho nabii (ale-le-le-le)
Giza, watu hawataki mimi ni manjee (yeah)
Watu wanawekaga, giza (yeah)
Watu hawataki mimi ni manjee
Watu wanawekaga, giza
Manjee, manjee, day by day
Labour day wanikatie mkate
Shida ni manjee, manjee, day by day
Labour day wanikatie mkate
Vita ni vingi upigane ipi ndio maswali
Vita ni vita mwanangu daily noa makali
Mara ghafla imepanda bei ya sukari
Na round hii hamuwezi funga geti kali
Watoto wa uswazi wanapenyea digitali
Game la siasa legendary
Nipo chuo hawapandishi secondary
Tatizo sio kutoka na sio mistari
Tatizo kuna wimbi lenye njaa kali
(Kali ni kali ni eeh)
Giza, watu hawataki mimi ni manjee (yeah)
Watu wanawekaga, giza (yeah)
Watu hawataki mimi ni manjee
Watu wanawekaga, giza
Manjee, manjee, day by day
Labour day wanikatie mkate
Shida ni manjee, manjee, day by day
Labour day wanikatie mkate

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar