Samahani namba unayopiga umepigwa Iko mambo (iko mambo) Iko mambo apo (iko mambo apo) Ehh ehh ehh ehh Ehh ehh ehh ehh Ehh ehh ehh ehh Ehh ehh ehh ehh Sexy sexy Angelina Sexy mama I'm the winner Roho mbaya mama huna Umezama mzima mzima Ehh ehh ehh ehh Ehh ehh ehh ehh Nikajua kikoba dunduliza Nikaanza kingi kukuingiza Vipi fremu ya duka sinza Nifate mzigo china si kuagiza Na vile penzi usiku wa giza Pesa kwangu ukaziingiza Nikampa namba ya china Kumbe namba ya kichina (Samahani namba unayopiga umepigwa) Iko mambo (ehh ehh ehh ehh) Iko mambo apo (Ehh ehh ehh ehh) Iko mambo (Ehh ehh ehh ehh) Iko mambo apo (Ehh ehh ehh ehh) Iko mambo Iko mambo apo Iko mambo (yeh) Iko mambo apo Nipo kwenye DM najibu mashtaka Vile anakesha akiview mastata Namba kazituma na mi sijazitaka Vile kanifollow na mi sijamfata Ehhh iko mambo (iko mambo) Iko mambo apo (iko mambo apo) Anhh akatuma picha mrembo shatashata Akili ikanituma kutaka kumkata Nimetuma fungu tayari kalipata Anakuja na Taxi leo ataipata Bado ajafika jogoo ameshawika Iko mambo (iko mambo) Iko mambo apo Namiss wale wa tuma kwa namba hii Mapimbi mi nawaliza kinamna hii Vile nawamarinate pale ehh Picha la sanchoka kwa profile Ndo linawasetiseti waje ehh Vile nawapetipeti pale ehh Wakisema tuma picha nashusha naweka Wakitaka za utupu nashusha naweka Na akitaka namba ndo mambo imejipa Apo kuna saluni nauli kufika Bado kuna kiepe kinywaji kutisha Wakishatuma mkwanja tu namba inazimwa Samahani namba unayopiga umepigwa eeh Iko mambo (Ehh ehh ehh ehh) Iko mambo apo (Ehh ehh ehh ehh) Iko mambo (Ehh ehh ehh ehh) Iko mambo apo (Ehh ehh ehh ehh) Mara kaex kanipigia Isac sikuizi unanichunia (mhh) Kabisa umenitupa ka gunia (mhh) Sikuhizi ni kama umetulia Vipi una demu ushachumbia? (yupo) Mambo ya ndoa si ya kukimbilia (kabisa) Sijui nikuite baby ama dear Ahaa niite pale pale tulupoishia Umemtupa jongoo na mti wake pia (usijali) Mara mojamoja uwe unanipigia (no way) Mume wangu ameingia nitakupigia Samahani ndoa uliyofunga umefungwa Iko mambo (Ehh ehh ehh ehh) Iko mambo apo (Ehh ehh ehh ehh) Iko mambo (Ehh ehh ehh ehh) Iko mambo apo (Ehh ehh ehh ehh) Smoosh lete weka apa lete Smoosh lete weka apa lete