Kishore Kumar Hits

Weusi - Derby şarkı sözleri

Sanatçı: Weusi

albüm: AIR WEUSI

Mama kila (mama kila)
Mama kila (mama kila)
(S2kizzy baby)
Derby kila show I say mi sinadogo
Maneno fainali semi mi si ndogo
Derby kama Derby ya kariakor
El Clasico London viwango vya juu we ni classy so
Vile sitaki kiu ikuletee mazoea naakutoa loki
Bomba ni lako nikimalza kunyeshea nalipiga lock (smash that)
Vile sitaki waje watuletea mazoea tunacheza lowkey
Shake your boom boom back
Leta shida kila mall
Me na zoom zoom back
Cha kujenga si ni nyumba sio unyumba
Mtambo nikipiga debe
Sipigi mke piga zege
Mechi ni derby kila daily
Daily eeh
Derby, derby, derby, derby, derby, derby
Mama kila mechi me ni
Derby, derby, derby, derby, derby, derby
Derby, derby, derby, derby, derby, derby
Mama kila mechi me ni
Derby, derby, derby, derby, derby, derby
Yeah, panda me nipande mbegu kama vita
Leta mi nilicharazee kama guitar
Ukati lingi we mama wee nakung'arisha
Ona mimi navyodeka unanilisha
Sipigi nondo napiga noti noti
Na bado nina betto kwenye koti koti
Sifui kwa dobi nakunja goti, goti
Vile nausakata nausaka kwa tochi
Oooh daarling darling darling
Unanilaza vile mi
Chaali chali chali
Mama kila, mama kila
Derby, derby, derby, derby, derby, derby
Mama kila mechi me ni
Derby, derby, derby, derby, derby, derby
Derby, derby, derby, derby, derby, derby
Mama kila mechi me ni
Derby, derby, derby, derby, derby, derby
Napenda unite daddy vile me nakuhudumia
Napenda vitu fulani vile me unanisusia
Napenda uniite Afande Nikki nikukamatie
Niite kisukari nije nikulambishie
Nikianza kula vitu ivi kwa jasho man
Utaacha kula vitu ivi kwa macho yani
Mabobo wanauliza anamng'ata nani?
Hii nyama wanaitaka mpaka rasta mani
Ooh my baby why, ooh my baby I
Kwangu umekufa nami I'm ready to die
We ni chipsi kavu baby ninakuuma yai
Sikufungulii suruali wabilahi
Nakufungulia moyo wangu why lie
Aai, derby, derby, dai (mama kila, mama kila)
Derby, derby, derby, derby, derby, derby
Mama kila mechi me ni
Derby, derby, derby, derby, derby, derby
Derby, derby, derby, derby, derby, derby
Mama kila mechi me ni
Derby, derby, derby, derby, derby, derby
Mama nina black belt tusicheze kung-fu
Na mi nina ugonjwa wa mapenzi sihitaji nafuu
Maana kila mechi ndani ndani
Derby hainaga uwanja wa nyumbani yeah
Na mwenyekiti nimekalia usukani
Na chombo hakiendi mrama yani stani stani
Yaani ni boom boomba
Kitamu changu mi nakitunza
Napokosea ndo najifunza
Makali bado nyakurunzinzani
Mama kila mama kila
Derby, derby, derby, derby, derby, derby
Mama kila mechi me ni
Derby, derby, derby, derby, derby, derby
Mama kila, mama kila
Derby, derby, derby, derby, derby, derby
Mama kila mechi me ni
Derby, derby, derby, derby, derby, derby
Mama kila, mama kila
Derby, derby, derby, derby, derby, derby
Mama kila mechi me ni
Derby, derby, derby, derby, derby, derby
Mama kila, mama kila

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar