Kishore Kumar Hits

Weusi - Air Weusi şarkı sözleri

Sanatçı: Weusi

albüm: AIR WEUSI


Please remain sited with your seatbelt fasten, until seatbelt sign has been pressed off
Watoto wanainama kuokota
Kama hela imedondoka
Si tulisimama kuzifuata
Kama ndege inaondoka
Air Weusi, departure (departure)
Flight time (flight time), departure (depature)
Air Weusi, departure
Flight time, departure
I got ain't got a license so I can drive you crazy
Shawty nambadiki kitaa flani cha Mbezi
Shawty like Madee kamwaga pombe yangu
Kitaa flani cha Mbezi, Mbezi ya chini
Crazy lakini aah
Akaniambia baby njoo na lighter
Leo nataka tuifanye kama cypher
Anapendaga threesome nikaleta Weusi
Tukabang three times akaja Bonta
Four time akaingia Lordy
So issa five time, show time
Ile saa likaamka dude
Tukacome ni balaa (Aah)
Watoto wanainama kuokota (eeh ey)
Kama hela imedondoka (eeh ey)
Si tulisimama kuzifuata (eeh ey)
Kama ndege inaondoka (eeh ey)
Air Weusi (wooh), departure (departure)
Flight time (flight time), departure (departure)
Air Weusi, departure (departure)
Flight time (flight time), departure (departure)
Flight time, flight time (Yeah)
Sina muda wa kujadili time (Yeah)
Kwenye hela mrembo hakosi time (Yeah)
Kina Kardashian wameniona Kanye
Wenye mimba za chuki niwakanye
Mkanye mkanye
Mkanye superstar asijifanye
Umaarufu una mwisho hauna kamwe
Mr mabig chicks pakia bags ma
Air Weusi ndege imejaa manyota
Fasten your seatbelts
Shawty we fly high
Watoto wanainama kuokota (eeh ey)
Kama hela imedondoka (eeh ey)
Si tulisimama kuzifuata (eeh ey)
Kama ndege inaondoka (eeh ey, flight time)
Air Weusi (wooh), departure (departure)
Flight time(flight time), departure (departure)
Air Weusi, departure (departure)
Flight time (flight time), departure (departure)
As we proceed to give you what you need
Ukaguzi wa kuingia kwenye hili pipa ni mkali
Suspect number one, snitch kaa mbali
Suspect number two, uchawa okay
Suspect number three, uchawi sawa sawa
Huwezi kwenda juu kama huna ramani
Airforce Weusi tunaishi hewani
Ukiingia kwenye hili pipa unaenda duniani
Sio kwenda mjini, unaenda duniani
I say ngumu kupanda, lakini ngumu ni kutua
Kila pass inazingatiwa, hakuna wa kubutuwa
Haitishwi na mawimbi hii sio mashua
VIP tupo majita na ndio washua
Watoto wanainama kuokota (eeh ey)
Kama hela imedondoka (eeh ey)
Si tulisimama kuzifuata (eeh ey)
Kama ndege inaondoka (eeh ey, flight time)
Air Weusi, departure (departure)
Flight time (flight time), departure (departure)
Air Weusi, departure (departure)
Flight time (flight time)
Ok, upasspoti kwenye begi
Kuna peni, kuna vyeni
Kuna ten millioni
Kwenye small cases
VIP niko peace
Me na pisi fulani kali
Nikipee mdomoni
Nigga no offences
Maduu wanarushwa kwenda juu ya mawingu
Futi fulani sio mambo ya kurushwa fences
Ronaldo kwenye rap biti ikiwa boombop
Nikitua unajua me nafanya messes
Aah! Latua kwenye maji pia kwenye lami
Ndege hili la bata pia la vitani
Huwezi ukawasikia rapper dummy dummy
Ikiwa kuna shari latua nikani (Hatua vitani)
Kiwanja ni cha mtaa
Hili ndege lilikopaa kutoka sinoni (Kutoka sinoni)
Madini mpaka kung'aa ni
Nimpaka umekomaa yatoke shimoni (Yatoke shimoni)
Ndege linakopaa inamaanisha kaba baa sishuki motoni
Ooh Air Weusi

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar