Kishore Kumar Hits

Rostam - Kijiwe Nongwa şarkı sözleri

Sanatçı: Rostam

albüm: Kijiwe Nongwa


Is another one
Take five now
Alikuja kama masihi tukamchangia sadaka
Tukamuona nabii alieshushwa siku ya pasaka
Tukamtolea na zaka ili kanisa alijenge
Ehee na bado akamlaza muhumini kifo cha mende
Hivi unamkumbuka babu
Babu wa loliondo
Ahaa yule mfugaji mwenye bleach ya kikongo
Watu wamekufa watu wamefungwa watu wamepoteza biashara
Sawa uchaguzi umekalibia amerudi chama tawala
Vipi Dada yetu wa igunga simioni udangaji
Ahaa mbona ameshapata mchumba sio vibeniteni wazamani
Yule Fundi geleji chawa si kamteka bibie
Na wamefungua magahawa yani wote mama ntilie
Na kuna demu aliachiwa mtoto na akaolewa na mtoto
Akaachana na mtoto na
Akabaki anamlea mtoto
Izi ndoa za mjini bwana zinasikitisha
Ehee zinafungiwa chumbani na zinavunjikia insta
Soka la bongo linakwama wapi tff maana take nini
Tanzania football felia ndio nacho jua Mimi
Unamfukuzaje amunike ili uzaifu wenu muufuge,
Wakati mlimpeleka mlevi je akacheze namba ya mkude
Sema leo akilali kipolo imeisha kuwa kelo
Ukuta tunavunja kwa tindo
Wameisha pogwa guu wako dolo na
Kiki za kikolo majita tushapiga kishindo
Ili ni fagio la chuma linang'oa visiki safisha vichaka kwa moto
Simba kageuka duma jangwani aipitiki ukitufata we to a moko
Malehemu walimsema mnyonyaji sawa mziki una maziwa
Sawa Mungu kamuitaji na bado aujafanikiwa
Hivi unazani ndani ya mjengo nani ataliziba pengo
Acha maisha yaendelee jasili ameumaliza mwendo
Alie okota almasi alikua miss Tanzania
Na aliekuja inunua dukani ni mganda mwenye nia ya dhati ila hapa
Kati wakatokea maharamia kawatumia
Ila mwamba ninyanyasaji wa kijinsia
Sa sikiza man
Yeah
Vipi shem mama Ivan
Aa tupotupo tu ila atupo kama zamani
Nawe vipi kwani mbona wife simuoni nyumba
Hey chil man sina majibu Dill dine
Bungeni dairy majanga viingozi wameishiwa mada
Ivi mbunge wako wa tanga hoja sake unazisikiaga
Sawa nitazisikiaje na Nina sipika mbovu za
Wanakijiji ila Fundi wao anakuja soon kutoka uberigiji
Mabii Tito na Dr shika tiyari wamesaauliwa
Mwenzao mariam biliani anapika na anapakuliwa
Bongo bwana ndio nchi inayo sapoti sana ujinga
Utashangaa Ambaruti kala shavu ubarozi wa kinga
Yalio semwa yamesamwa Kazi kwenu mlio zoea ketema
Wakitaka tuyajenge tena
Mwambie muda sio rafiki mwema
Heyi yeyeyeheeee
Kusema kweli atuchoki na kwenda jela atuigopi
Tutabanana ata kama apatoshi
Atupindishi ata kwa nyuma
Sema leo akilali kipolo imeisha kuwa kelo
Ukuta tunavunja kwa tindo
Wameisha pogwa guu wako dolo na
Kiki za kikolo majita tushapiga kishindo.
Ili ni fagio la chuma linang'oa visiki safisha vichaka kwa moto
Simba kageuka duma jangwani aipitiki ukitufata we toa moko

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar