Ladies and gentleman Yeaaah Mika mwamba present chidi benzi Chii chii chii chii chiiii Aaahaa Bongo flevaa bongo bongo Bongo fleva aaah aah Okay bongo fleeevaaa Bongo bongo bongo flevaa Mara nyingine najiuliza una uzuri wa Namna gani na nashindwa pata jiibuuu Ukiwepo we ndo chanzo cha kunipoza nafsi yangu inapopatwa majaribuuu Nakuamiiinii iih bila yamin we ndo dawa ya kunitibu Naweza tamba nje kotee ila kwako sithubutu Siwezi hata kujaribuuu Kote niliacha ujinga sitaki Usije ukaniacha nongwa sitaki Kwani sitotakaa mi kwako haki Bora kukupataa oo mamaa weee Siwezi hata kujaribuuu Kote niliacha ujinga sitaki Usije ukaniacha nongwa sitaki Kwani sitotakaa kwako haki Bora kukupataa oo mamaa weee Nipe raha za duniaaa Niwe mtu kwenye watuu Sitaki kukukoseaaa tena kwa vidudu mtuu Penzi sitolichezeeaaa kwako nikakosa vituuu We ndo wangu my deaar Sikufananishi na mtuu Maashaallah Kwanza desturi na mila Mzuri wa tabia akili timamu sio taahira Mpole nikikosa hauna sura ya kuzira Mapenzi yako moto unawashinda tatu bila bilaa bilaaaa Umenishika siwezi ongea wengine wote wamepotea Usiniache safarini taratibu nasogea Dar moro songea rock city Nachingwea nchi zote tutakwenda wawil kama pea Nipe raha za duniaaa Niwe mtu kwenye watuu Sitaki kukukoseaaa tena kwa vidudu mtuu Penzi sitolichezeeaaa kwako nikakosa vituuu We ndo wangu my deaar Sikufananishi na mtuu Nipe raha za duniaaa (nipeee nipeeee nipeee) Niwe mtu kwenye waatuuu (niwe mtu kwenye waaatuuuu) Sitaki kukukooseaaaa (sitaaa sitaak sitaakiii nasemaaa) Tena kwa viduuduu mtuu (tena kwenu kwa vidudu mtuu Penzi sitolichezeaaa (penzo sito sitooolichezeaaa) Kwako nikakosa vituuu (kwako nikakosaaa maambooo We ndo wangu my deaar (wee ni wanguu mii) Sikufananishi na mtuuu (aabadan abadan) Labda ni macho mdo yanayonizuzuaa Ndo mana wazushii wanapenda kuzuaaa Labda ni figa inayonivutiaa Ndo mana masela wanacha kufatiliaaaa Labda ni macho mdo yanayonizuzuaa Ndo mana wazushii wanapenda kuzuaaa Labda ni figa inayonivutiaa Ndo mana masela wanacha kufatiliaaaa Ooh kufatiliaaa Ooh rohoni wanaumiaaa Ooh kukuchukuaaa Nipe raha za duniaaa (nipeee nipeeee nipeee) Niwe mtu kwenye waatuuu (niwe mtu kwenye waaatuuuu) Sitaki kukukooseaaaa (sitaaa sitaak sitaakiii nasemaaa) Tena kwa viduuduu mtuu (tena kwenu kwa vidudu mtuu Penzi sitolichezeaaa (sitooolichezeaaa) Kwako nikakosa vituuu (kwako nikakosaaa maambooo) We ndo wangu my deaar (wee ni wanguu mii) Sikufananishi na mtuuu (aabadan abadan) Nipe raha za duniaaa (nipeee nipeeee nipeee) Niwe mtu kwenye waatuuu (niwe mtu kwenye waaatuuuu) Sitaki kukukooseaaaa (sitaaa sitaak sitaakiii nasemaaa) Tena kwa viduuduu mtuu (tena kwenu kwa vidudu mtuu Penzi sitolichezeaaa (sitooolichezeaaa) Kwako nikakosa vituuu (kwako nikakosaaa maambooo) We ndo wangu my deaar (wee ni wanguu mii) Sikufananishi na mtuuu (aabadan abadan) Maaashallah