Kishore Kumar Hits

Trio Mio - Fine Settings şarkı sözleri

Sanatçı: Trio Mio

albüm: Fine Settings


Uh huh, Mkurungenzi wa jiji
Trio Mio
(Big shoutout to Vinc on the beats btw)
Sai matha ako set, nakumbuka nikifukuzwa class
Ju sina geometrical set
Breadwinner at 16
We ulikuwa yardie unaendesha mpara
Na ambition ya kunyoa kipara
Ju umecheki Stonecold, wrestle umafala
Same nigga kwenye comment section
Advice nyingi mawaidha ashaanza
Trio Mio usiforget education
Life ain't easy kusoma ni kwanza
Sidang ma najifanyanga wajanja akiconcern
Mi niko fity ng'ang'ana Gikomba
Mi juu ya mbuta uganga
Trio Mio aki your own man
Dem VIP fine settings
Na magyaldem round idea under 18 can't get in
Everyday mi na pray to the most high bless my brejin
Blessing in ambudance, settings huwanga lazma
Buda mi nabet bread na my bro
Gang gang tunaglow
Mandem set ni fine, set ni fine
Gyaldem set ni fine, set ni fine
Fine settings, prr
Fine settings, aha aha
Buda mi nabet bread na my bro
Gang gang tunaglow
Mandem set ni fine, set ni fine
Gyaldem set ni fine, set ni fine
Fine settings, prr
Fine settings, aha aha
Set ni fine, set ni fine
Hii maisha na normalize
Hizi ni mandoto navisualize
Siku hizi ni maphoto na socialites
Mi hukula kuku na mkono
Utamu hupungua nikikula fork and knife
Mimi na supu kwa mdomo
Life huwanga fupi unaeza chocha overnight
Cheza na mi bro, prrr
Hii mkwanja ni nyingi, ni comical Elsa Majimbo
Income ni multiple capital pesa ya wimbo
Nakaza kamba ki juggernut
Nataka German kwa parking lot
Breakfast ya Java na apricot
Walisema one year max
Trio kata chapa kakibreak voice
Oya man hold this nut
Mtafanya bado mi namake noise
Wanafanya jumping jugs
Press up lemme tell you something man
Pressure kwangu huwa nothing fam
Never Trio kuteveva, buda mi na .
Buda mi nabet bread na my bro
Gang gang tunaglow
Mandem set ni fine, set ni fine
Gyaldem set ni fine, set ni fine
Fine settings, prr
Fine settings, aha aha
Buda mi nabet bread na my bro
Gang gang tunaglow
Mandem set ni fine, set ni fine
Gyaldem set ni fine, set ni fine
Fine settings, prr
Fine settings, aha aha
Ye husemanga dosi kila kitu
Wao husemanga jiongelelee
Mkicheza draft na mapekelee
Kazi mushene juu ya mawe
Mi nataka tuongezee na bonge la Bima
Leather interior
Mnabonga na pingu nyi ni inferior
Mboka napiga vile nafikiria
Utadhani mbogi ni 2 seater huwezi nikaribia
Ki PLO Lumumba na hii mziki
Ni lengo si dumba nyi hamshiki
Kibisco kwa nyumba maandishi
Mnapaka wino kwa sura za mashabiki
Wako student league na hii fluency
Mi nina fluent speech
Only a few mcees wanaeza mess na mimi
Let the viewers see nani bazeng wa jiji
Na hii music shit
Chill acha nirelax, skill nilipewa marks
Nafeel wanilipe tax everytime nikispit juu ya pic
Na ni facts
Lets keep it factually na mizani ni nyingi
Zingine nakinda naskia kwa redio
Hizi facts ni clear upende usipende utaniskia
Ka sauti ya risasi huachia...

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar