Unavyonipenda Charisma Wiisi nina vata naku, nye You know imma ride for you, nye You know imma die for you, nye Wiisi nina vata naku, nye Wiisi nina vata naku, nye You know imma ride for you, nye You know imma die for you, nye Wiisi nina vata naku, nye Kila siku nikiwaza hili penzi letu Lanijaza moyo, we wanijaza moyo Mahasidi marafiki wote wajaribu Kulivunja nooo, but no they don't know This loving is forever No retreat we no surrender Watachoka kusema, mi nawe we no pretenders This loving is forever No retreat we no surrender Watachoka kusema, mi nawe we no pretenders Nakuwaza wewe, my pretty baby Things will never be the same Ukiwa nami Wakija kututenganisha, hawataweza Mi nawe ni wa milele Tuko milele Unavyonipenda (nipenda) Tunavyopepea (pepea) Siwezi eleza (eleza) Umeniweza Unavyonipenda (nipenda) Tunavyopepea (pepea) Siwezi eleza (eleza) Umeniweza Mwili hauna spare, nakupa roho yangu promise utakuwa fair Hata nikikosa fare nitapiga squadi niamini I'll be there Chunga hawa mafisi ni mambweha, wengine ni mabear Chocha za mandai na machupa za Bellaire You know that a Kamba boy always takes care of you my darling So don't you worry, always be happy Show the cute smile on your pretty face You my sunshine in the shady day Andu makeo seng'a, Undu kanakena new ways moved up from the funny days Ride for you baby imma ride for you (ride for you) No shoe shiner imma die for you (die for you) African woman I adore you And I just called just to say that I love you Nakuwaza wewe, my pretty baby Things will never be the same Ukiwa nami Wakija kututenganisha, hawataweza Mi nawe ni wa milele Tuko milele Unavyonipenda (nipenda) Tunavyopepea (pepea) Siwezi eleza (eleza) Umeniweza Unavyonipenda (nipenda) Tunavyopepea (pepea) Siwezi eleza (eleza) Umeniweza Wiisi nina vata naku, nye You know imma ride for you, nye You know imma die for you, nye Wiisi nina vata naku, nye Wiisi nina vata naku, nye You know imma ride for you, nye You know imma die for you, nye Wiisi nina vata naku, nye