We uko wapi eeh Uko wapi eeh We uko wapi eeh Nibembeleze kwani mie ndiye wako We uko wapi eeh Uko wapi eeh We uko wapi eeh Nichangamkie kwani mie ndiye wako Kutoka utotoni niliyekuwa naye Maziwa ya nyayo tukicheza hicho Yeye Rabi kanibariki mimi Na nimekoma, na nina noti Lakini malkia wangu Uwalinalo vutia ajabu Nirudishie, nirudishie wewe Nirudishie utanipa maisha yangu We uko wapi eeh Uko wapi eeh We uko wapi eeh Nibembeleze kwani mie ndiye wako We uko wapi eeh Uko wapi eeh We uko wapi eeh Nichangamkie kwani mie ndiye wako Ndiye ndiye wako wako wakoo wakoo ooh oh Nafanya mimi ninachokipenda Muziki asali inaridhisha Lakini bado sijajitosheleza Natafuta sukari nikwangane asali Asali sukari sukari asali utamu halisi Ni we, we pekee We uko wapi eeh Uko wapi eeh We uko wapi eeh Nibembeleze kwani mie ndiye wako We uko wapi eeh Uko wapi eeh We uko wapi eeh Nichangamkie kwani mie ndiye wako Ndiye ndiye wako wako wakoo wako ooh Weeh oh, weeh oh