Kishore Kumar Hits

Elani - Zuzu şarkı sözleri

Sanatçı: Elani

albüm: Barua ya Dunia


Number one on your Radio
Kwani wapi nilikosea
Kwani wapi nilikosea
Elani baby
Kufumba kufumbua, hasira ni hasara
Pesa ndiyo kitu sina, jukumu ni lazima
Tabibu wangu amenitoroka
Tabibu wangu ameniacha
Ameniacha mi(Aiyoooo)
Hoihoii iii(Iyoo, Iyo, yo, yo)
Kwani wapi nilikosea aah aah
Kwani wapi nilipotea, nikaachwa mataa
Anaye ni zuzu anayenizuzua
Anaye ni zuzu amenitoroka
Hoihoii, hoihoii iii
Ulienda, ulienda wapi
Penzi limenichanganya, sijui niko wapi
Ulisema ni mimi tu,
Ukani chocha chocha chocha its me & you
Umeniacha Mi, Hoooiiiii,
Hoi, Hoiiii
Kwani wapi nilikosea aah aah
Kwani wapi nilipotea, nikaachwa mataa
Anaye ni zuzu anayenizuzua
Anaye ni zuzu amenitoroka
Hoihoii, hoihoii iii
Kwani wapi nilikosea aah aah
Kwani wapi nilipotea, nikaachwa mataa
Anaye ni zuzu anayenizuzua
Anaye ni zuzu amenitoroka
Hoihoii, hoihoii iii
Ulienda, ulienda Wapi,
Hapa Nilipo, Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ulienda, ulienda Wapi,
Hapa Nilipo, Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ulienda, ulienda Wapi,
Hapa Nilipo, Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ulienda, ulienda Wapi,
Hapa Nilipo, Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ninakumissi Yo Yo Yo,

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar