Kishore Kumar Hits

Elani - Jana Usiku şarkı sözleri

Sanatçı: Elani

albüm: Elani Instrumentals


Jana usiku, niliota ndoto,
Africa nzima, kuliwaka moto x2

Jua ilinyesha, mvua nayo ikawaka aaa,
Manabii walitafsiri, siku hii na sio siri,
Kama wewe unajipenda, mikono juu mikono juu,
Kama umemea,
Sahau shida ka umesota, leo tupige makelele,
Kona to kona, tukiimba,
Aaaaaaa, aaaaaaa

2
Na mi napendwa na halaiki, wananipigia pigia mtaani,
Haiyaiye,
Tumemea, hakuna fare, na tunataka hewaaa x2

***END***

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar