Naomba usiniumize mama Moyo wangu ni mwepesi sana Naomba usiniumize mama Njia ya kupenda tena nitakosa Na nikuchukue nikutunze Unachotaka mama nami nikupatie Na Nikuchukue nikutunze Unachotaka mama nami Nikupatie Nikiwa nawe wanichekesha Ni mimi na mola tunajua Jinsi nikupendavyo Jinsi nikupendavyo Nikiwa nawe wanichekesha Ni mimi na Mola tunajua Jinsi nikupendavyo Jinsi nikupendavyo ohh Nikupende Nipende nikupende eeh Nipende nikupende Jinsi nikupendavyo ohh Nikupende Nipende nikupende eeh Nipende nikupende Jinsi nikupendavyo oh Unaponuna waniumiza roho Nisipokuona kila siku naumia moyo ooh Mimi kwako Sijiwezi Sijielewi sioni Nakupenda jamani aah Jamani Kwako Sijiwezi Sijielewi sioni Nakupenda jamani Eeeeh Na nikuchukue Nikutunze Unachotaka mama nami nikupatie Nikiwa nawe wanichekesha Mimi na mola tunajua Jinsi nikupendavyo Jinsi nikupendavyo Nikiwa nawe wanichekesha Ni mimi na mola tunajua Jinsi nikupendavyo Jinsi nikupendavyo ohh Nikupende Nipende nikupende eeh Nipende nikupende Jinsi nikupendavyo ohh Nikupende Nipende nikupende eeh Nipende nikupende Jinsi nikupendavyo ohh Usiniumize mama Moyo wangu ni mwepesi sana Mimi kwako sijiwezi Nakupenda jamani eeh Nikupende Nipende nikupende eeh Nipende nikupende Jinsi nikupendavyo ohh Nikupende Nipende nikupende eeh Nipende nikupende Jinsi nikupendavyo