Hakuna aliye kuumiza nilivyo kuumiza Ni mimi tu nimevunja moyo wako mara mia sita Lakini nakuomba msamaha kwa mara ya elfu tisa Baby nisamehe Forgive me, nisamehe Kosa baada ya kosa nimekosa Kosa baada ya kosa, kosa Wapi basi nitaficha sura yangu baby(aah!) Baby nisamehe (aah!) Forgive me, nisamehe (Aah!) Sisi wote wakosaji baby Wajua navyo kuhitaji Nakula kwa taabu Bila wewe tabibu Wapi basi nitaficha sura yangu Usiporudi kwangu Usiporudi (usiporudi) Nitafanya nini (nitafanya nini) (Ooh!) Baby nisamehe Forgive me, nisamehe Baby nisamehe Forgive me, nisamehe