Hodi kwa mama wa mtoto mkorofi Acha nikuambie ka unataka kuona machozi Ya mtoto mchokozi Itabidi uongeze pilipili kwa biriani, otherwise Ka si hivyo wanachama hatuliangi, hatutuliangi Na ndukulu ni bangi Na ina harufu mbaya Inaudhi majirani Lakini haidhuru ni sawa Acha wahamie kwa mashininani Ka ina wadhuru vibaya Zina tu-bustia ka bombom kwa corner Mi nina squadi kwa chrome Na ma conmen na wakora Wana diploma za kufunguanisha Grogon na Corolla The boredom mnasorora Vile hamna talent so mmegeuza game Sodom na Gomorrah Vuta hiyo trouser juu wacha kutuonyesha tako Vuta hiyo mini chini unamwaibisha mamako Ka unatafta ule anajua kupika kupika uji Sio kupiga picha uchi Unfollow nyako follow nyanyako Ukitaka nyama apa sawa chief Hii butchery tunaita usiwahi blunder Na beefs huwanga ready ka skangaa Bonga shit unatandikwa ka kitambaa Bedcover ama handkerchief If your God is money then you're poor to me I have a feeling you're not who you pretend to be on IG Kutoka nursery, I've been a winner Usinieke gasoline Na bado hamjazima moto niliwasha '03 Nakam na (Finyo) Watu wabaki (Finyo) Ilikuwa tu (Finyo) So najiona (Finyo) Na tuna (Finyo) Bado tuna (Finyo sana) You ready for the world, is it ready for you? You waiting for your girl, is she waiting for you? Niliskia type yako hulike ma bachelors Sijui ka ni true IG ben yule carpenter I feel ka ni true, ah-ah-ah Ni reasoning sio umang'aa Ujinga ndio si hukataa Sacrifice ni kuifanya for family sio chapaa Greatness ni kuamkia legacy sio chapaa Siwezi kuua juu ya thao kaa kwangu thao sio chapaa My apartment in Amsterdam Certified rastaman Aki sometime nahang I feel like I'm Saddam I feel like I'm the best Nikumake man impressed (Zii) Nikufake happiness (Zii) Mi ni merciless I'm ill, na nitawatesa until mkubali kesi Ka sitakuimpress na skill, nipambe freshi Ukidai tuingie commercial still, nakuanga Messi Prepare kuingia battlefield na mwanajeshi Hii ni ile inaitwa, one-shot-kill Nafeelingi fiti, nikiwamadanga ki action film Nabelieve hii mziki itanibuyia mansion still Ahh If your God is money then you're poor to me I have a feeling you're not who you pretend to be on IG Kutoka nursery, I've been a winner Usinieke gasoline Na bado hamjazima moto niliwasha '03 Nakam na (Finyo) Watu wabaki (Finyo) Ilikuwa tu (Finyo) So najiona (Finyo) Na tuna (Finyo) Bado tuna (Finyo sana) Mwanaume aseme hii shamba siezi lima Nakam na plough mbili Hiyo ingine ni ya finyo pekee Niko na issue ikiwa juu yangu ka si kofia Kwa maissue za vitabu za historia Jina yangu, watoi wako wataisoma pia Ata ka utadedi ukisema hukuwahi kuniskia Nishakusikia kila year, ukilia utarun next year Si this year pia ilianza ukilia, walahi this year Next year nitaquit, niko high ju niko this year Sitakuwa high next year ka nitakuwa high next year Excuses Excuse me, please, sorry, thank you Mission impossible, kifo ni ngori jo Na isikupate ukitry too hard to be perfect Sometimes jipe ruhusa tu kuwa ratchet Smile ka bado hujapita budget Na ka umepita ficha shida chini ya carpet Inapiga, inapiga kushinda earthquake Inapiga, inapiga kushinda earthquake Watu tunarace na wao Wanashindwa kushusha handbrake Uhunye na Rao wamepiga handshake