N. Y. A. S. H. I. N. S. K. I, I stay fly G. O. A. T that's no lie Nabaki T. O. P till I die Mi siwandanganyi bana this time umati imesha-decide Wanati wanna-legalise marijuana yeah Ni funny naona design nilianzishanga mkirhyme Ndio maana naji-describe kafundi wa ma-career Ni nini ka si divine Kutoka mahali tumetoka hadi kujifine Kwa keja zina master mbili Huyu mrasta ana akili Na hawezi zipima ata mkisimamana ratili over there Really niko fine check thermometer U. G ushaamua since TZ iko na Pombe wana Wine Na si tuko busy tunagombana online Mapang'ang'ana sasa hio nchi inachomeka na hatucare Siasa ni za tribal line Streets ni mimi na jaba na my idle mind Industry ilikuwa flat kila vital sign Tu-agree comeback yangu ilikuwa right on time, yeah N. Y. A. S. H. I .N. S. K. I, I stay fly G. O. A. T that's no lie Nabaki T. O. P till I die Hits mingi ka the mushroom na Punit pamoja Wanasemanga mi ni ka kikundi mtu mmoja Kando yangu iko na mtu ana kidungi kwa toja Incase watry kupimana mvi na kocha Ni mi nasosi kaongezeni chumvi na sosa Mind iko sharp kama suti inanitosha Shughuli napiga sio lazima mzione Been here forever na bado ni ngumu mnisome Sumu jikoni saa ishaiva Umeona nimedumu mwisho umekuwa believer Vichwa vigumu ndo hufika mahali nimefika Kama worth yako waseme we ni diva N. Y. A. S. H. I .N. S. K. I, I stay fly G. O. A. T that's no lie Nabaki T. O. P till I die Kama mbese na skusha my household name I'm the best ever, loose never can't complain Already in the hall of fame and still playing GOAT shit am forever in my own lane Drop the game back mi na sauti hakuna argument Make a space for you young niggas msiwai forget Na hiyo debt huezi lipa, wengi huguess Wanapata hit moja wengi humess Wengi huisha, wengi hutafuta shortcut wamebaki wameburn Took time of this shit nikaistudy na nakailearn Ka ninayo jua nilifanyia kazi na nikaiearn Ka ni luck basi i here as they come, chinchilla!