Kishore Kumar Hits

Nyashinski - Black şarkı sözleri

Sanatçı: Nyashinski

albüm: Black


Yeah
Unacheki superhero on a mission, yeah
Black on black looking like a billionaire
Game ninayo mob ingine free nawapea
I know it's impossible to really not stare
Spend weekend mzima ka simu iko mteja
Flow ya kuk'fanya useme Shin' come tena
Tom Ford inakuja na breeze unaismell
Imemix na shash but you really can't tell
Cheki black juu, chini
Window nilitint kabla uhamie mjini
Ni ngumu uresist chizi fly kaa mimi
Before unitrust we niambie itatake nini
Sibadiliki
Melanin juu chini hakuna bleaching
Black is beautiful hiyo ndo teaching
Geuza thinking
Ni ma-king tu na ma-queen
Squad yote mpaka DJ (black)
Juu ya kwang ongeza tire (black)
Competition naicheki kwa kioo
Vako yake pia ni black on (black)
Michael Jackson (black)
Bank account on (black)
Spend my cash on (black)
And her ass on (black)
Uh, competition na naicheki kwa kioo
Vako yake pia ni back on (black)
Na ni black
Boyz club tumedunga ma ope na nyonginyo
Tuko moshi, I swear siwezi tell pali tuko
Tuko setere sese, mchezore zeze
Run hii shit yani mobuture sese, mmh
Switch bank what a champe does
Ndani ya ring nima headi Zinedine Zidane
Na ata letewa ile kitu minadai ime vai
Wakikata maji mi niko divai na gethai
Ka there's a will there's a way niggas nje ya ndoa
Nshawashuku hawa nyoka sa nikuwa dondoa
Nauezi hepa lugha yangu vile na roroa
So nipe standing ovation vile na kaa poa
Nimedunga black ndani ya G wagon again
And black model and her friend
Chupa ni black
Tags intact kwa swag
Nasumbua ka kibeti ya Kyallo
Squad yote mpaka DJ (black)
Juu ya kwang ongeza tire (black)
Competition naicheki kwa kioo
Vako yake pia ni black on (black)
Michael Jackson (black)
Bank account on (black)
Spend my cash on (black)
And her ass on (black)
Uh, competition na naicheki kwa kioo
Vako yake pia ni back on (black)
Na ni black on (black)
I'm the one
Number one
Superhero
Superman
You're my lady
You're the one
Kuja hivo
Usiturn
I'm the one (I'm the one)
Number one (number one)
Superhero (black)
Superman (Superman)
You're my lady (black)
You're the one (black)
Kuja hivo
Usiturn
Unacheki superhero on a mission, yeah
Black on black looking like a billionaire
Game ninayo mingi, ingine free nawapea
Si na hao tafadhali usicompare
Cheki superhero on a mission, yeah
Black on black looking like a billionaire
Game ninayo mingi, ingine free nawapea
Si na hao tafadhali usicompare
Squad yote mpaka DJ (black)
Juu ya kwang ongeza tire (black)
Competition naicheki kwa kioo
Vako yake pia ni black on (black)
Michael Jackson (black)
Bank account on (black)
Spend my cash on (black)
And her ass on (black)
Uh, competition na naicheki kwa kioo
Vako yake pia ni back on (black)
Na ni black on (black)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar