Kishore Kumar Hits

Savara - Reggae ya Kinyozi (Remix) şarkı sözleri

Sanatçı: Savara

albüm: Reggae ya Kinyozi (Remix)


Wooyyy
Hii ni reggae ya kinyozi
Hapa hakuna kunyolewa na deni
Hapa kazi tu hakuna ujuaji
Mwenzako akinyolewa chako tia maji
Wowooiiii
Hii ni reggae ya kinyozi
Inapendwa na Wanati na wadosi
Haichagui sura haichagui ngozi
Na ikikupata ikupate na mapozzi
Look where we began
Kwa corner za hii mtaa
Mbogi yangu ya ghetto
Tulitoka maringo
Tuko on the other side
Look who you've become
Wasee wanoma sana
Wasanii wamesoma
Kuna mafootballer na mageneral
I remember good times
Living on the east side
Why lie
It used to be so nice
I hope we can get to do it one more time
Eiiihhh
Hata ka sina maweng
Doba lazima tubeng
Usikubali kuparara
Looku ongeza sahara
Mbogi yote imejam
Juu gava yetu imelala
Deal zote ni haram
That's why we living on the run
I remember good times
Living on the east side
Why lie
It used to be so nice
I hope we can get to do it one more time

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar