So blessed, never stress na finesse hizi shida Kila zikiniona zinapita Niko pilka pilka Mahali nahitajika sijafika Stop asking me mbona nimeficha Na kama umelala basi, boy I ain't with ya Sideal na watu wakuchoma picha Nadai kuivisha, kujijenga Furthermore, ninadai kuget madoo Ku-have madame, ku-further more Niko on, niko on, niko on Toa form (Toa form) Niko on, niko on, niko on Toa form Ka ni form iwe ya nguvu Dash ka ni form ya udu-du Pole hainihusu pu Waste my time ni vurugu Nakam tu ki one man na bado sijishuku Cheki jo msupu, kuna venye umeiva But bae, umekosa tu vitunguu Na ukieza ziget, dish itakuwa set Na unajua babe venye si hu do, do Niko on, niko on, niko on Toa form (Toa form) Niko on, niko on, niko on Toa form ♪ True ka mali iko juu Fika bei nduguu Ka ngumu, basi ora, bye, shoo Kazi kwako, utado? You had one job But never came through That's why I'm on a mission now You know Chris Kaiga pull the crowd Nikikam mi nadai-dai mathao Niko on and you know what I'm about (What's that?) Niko on, niko on, niko on Toa form (Toa form) Niko on, niko on, niko on Toa form (Toa form)