Kishore Kumar Hits

Chris Kaiga - Chain Chain şarkı sözleri

Sanatçı: Chris Kaiga

albüm: Chain Chain


Ka imeweza imeweza na
Kakienda basi enda nayo
Ka imeweza imeweza na
Ukibebwa basi bebwa nayo
Kitu safi iende chain chain
Mali safi iende chain chain
Kitu safi iende chain chain
Mali safi iende chain chain
Wamlambez ka ulimi
Nishakuwa champez na imewacha kuwa siri
Ndio maana navaa machain na machingri
Na siku hizi hata ukikam na sanse sishikiki
Na daily niko biz na mabigfish wa jiji
Ma cheque husigniwa hadi kalamu haziandiki
Maweng kibao kuzibeba ni tizi
Nakaa kanisa empty hakuna Kasisi
Baadae niko rieng ya madrinks na mayengs
By 9 niko tings naona nikibleki ten
Sai siko right so itabidi nimeleft
Ju pori venye ziko brathe ni ka zimedent
Ka imeweza imeweza na
Kakienda basi enda nayo
Ka imeweza imeweza na
Ukibebwa basi bebwa nayo
Kitu safi iende chain chain
Mali safi iende chain chain
Kitu safi iende chain chain
Mali safi iende chain chain
Mi na maChampez tunapop ma Champagne hadi
Mama ploti anacall masanse aki
Dhani ni magunshot za Bunde nanii
Siku hizi tumekafunga tukatupa key
Ndio maana me hudunga ka msumari
Na kitu imebaki ni kumea tu kitambi
Juu ndani ya walenje nina kambi ya ganji
Na siku hizi sina rende nina gang ya wafuasi
Ka imeweza imeweza na
Kakienda basi enda nayo
Ka imeweza imeweza na
Ukibebwa basi bebwa nayo
Kitu safi iende chain chain
Mali safi iende chain chain
Kitu safi iende chain chain
Mali safi iende chain chain
Mimi ni kama dredy after nywele shaggy beiby
Better and improved making power moves daily
Siku hizi siwezi loose chance niko radar deadly
Na kama movie ya romance siwezi kosa pengting
Nipe rieng gathee nicheze ka me
Nakam na ma sss, mayengs na madrinks
Acha bash ibeng ka speaker ya ma3
Wakiteta ki Akothee waambie call police (Call them)

Ka imeweza imeweza na
Kakienda basi enda nayo
Ka imeweza imeweza na
Ukibebwa basi bebwa nayo
Kitu safi iende chain chain
Mali safi iende chain chain
Kitu safi iende chain chain
Mali safi iende chain chain

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar