Back it up, girl, ni ka unapiga reverse Katika mpaka DJ apull up hii verse Chachisha kutoka ngware hadi giza Wakisha nare lights zikizimwa Piga puff-puff alafu pass-pass Zikishika sana mamii dunga gas mask Cheki ras-ras, ako na cash-cash Where the bash at nichangamke chap-chap? Kuna msichana flani hapa, msawa sana Nikamwuliza kama anaona tukiwai achana Ai apana, ju venye uwaga umeni murder Figure namba nane, love it ukichora saba Yeesh! And that's just the half of it 'Cause if I ever tell them all, I know we'll split Na singetaka, ju iwe Lagos ama Kampala Anywhere we go, bado nitadai ule mjanja Back it up, girl, ni ka unapiga reverse Katika mpaka DJ apull up hii verse Chachisha kutoka ngware hadi giza Wakisha nare lights zikizimwa Piga puff-puff alafu pass-pass Zikishika sana mamii dunga gas mask Cheki ras-ras, ako na cash-cash Where the bash at nichangamke chap-chap? Ka ras na need gala Real Kama Madrid, na ananipa The love I need, hata tukikasirikiana Good girl gone bad, na anakaa Rihanna Ni madam classy, pia ni hustler Ride-or-die kwa ma party ama ndani ya mansion Si hupendana juu ya blackie ama ndani ya Jaguar Anafanya na feel aki ka a hundred thousand Back it up, girl, ni ka unapiga reverse Katika mpaka DJ apull up hii verse Chachisha kutoka ngware hadi giza Wakisha nare lights zikizimwa Piga puff-puff alafu pass-pass Zikishika sana mamii dunga gas mask Cheki ras-ras, ako na cash-cash Where the bash at nichangamke chap-chap? Back it up, girl, ni ka unapiga reverse Katika mpaka DJ apull up hii verse Chachisha kutoka ngware hadi giza Wakisha nare lights zikizimwa Piga puff-puff alafu pass-pass Zikishika sana mamii dunga gas mask Cheki ras-ras, ako na cash-cash Where the bash at nichangamke chap-chap?