Napitia na dinga ina speaker zinatingisha madirisha Kuliko pretty girl anadigi akitingisha Mwili ka ameshikwa na mathithi akiniambia Nammalizanga kama dishi ya familia Huwezi wai raia mwingine ka mi Mi ni ka ninja nawapiga na ma hit Toka L.A hadi mtaa za ma beast Imekuwa ni ngori aje nimeitiwa chief Hakuna bash ishai nibamba kaa hii Ilianza jana na ikiisha saa hii Ni ju mambang'a walicome-ingi Na bado bash ingeshika ka miti Kwa hivo jaza tumbler na kidri Ita mama pima acome hivi Na Tusker malt, na ma Pilsner ka mbili Leo sidance kwa floor nadance kwa ceiling (Dance kwa ceiling) Leo sidance kwa floor nadance kwa ceiling (Dance kwa ceiling) Leo sidance kwa floor nadance kwa ceiling (Dance kwa ceiling) Leo sidance kwa floor nadance kwa ceiling (Kwa ceiling) Leo sidance kwa floor nadance kwa ceiling (Dance kwa ceiling) Si ni ma-party addict, hadi haijalishangi Ka tumedunga njumu kali ama patipati Niite bash mamii, tuko ndani ndani Bora ina waresh na drinks tuko inadi-nadi Kuna vile umefurahisha majirani (Sawa) Unawhine ni ka umeitisha Four Cousins Umerise-isha temperature COVID 19 Ukitingiza mawezere ndani ya ma-tight jeans Sibaguangi napenda malight na ma darkskin Mamii whine your body ni ka hucheza katii Punguza calories, uki whine on me Kutoka saa moja giz' hadi ma morning Hakuna bash ishai nibamba kaa hii Ilianza jana na ikiisha saa hii Ni ju mambang'a walicome-ingi Na bado bash ingeshika ka miti Kwa hivo jaza tumbler na kidri Ita mama pima acome hivi Na Tusker malt, na ma Pilsner ka mbili Leo sidance kwa floor nadance kwa ceiling (Dance kwa ceiling) Leo sidance kwa floor nadance kwa ceiling (Dance kwa ceiling) Leo sidance kwa floor nadance kwa ceiling (Dance kwa ceiling) Leo sidance kwa floor nadance kwa ceiling (Kwa ceiling) Leo sidance kwa floor nadance kwa ceiling (Dance kwa ceiling) Hii inaeza shika kutoka Nai hadi Congo Adisia kwiti kwiti na kong'o Leo kidri iko mingi brathe toa lock Waiter leta mbili mbili na ma double shot Mi naskia fifty fifty kama change ya soo Songesha hizo viti viti sunda dancefloor Mamii twende chini chini mwaga jasho Ni ka umekula firifiri na unawashwo Ebu wa show Vile mwili hukunjwa kunjwa kama python Vile mwili hukunjwa kunjwa kama nylon Mi nadigi digi style na vibe yako (Sawa) Leo sidance kwa floor nadance kwa ceiling (Ha ha ha)