Ongeza debe Ongeza debe Ongeza debe Ongeza debe wakipunguza (Ongeza debe wakipunguza) Hii flow ni kali naitema ka taxin Nikibonda streets na ma punchline ka Ali Naroga, hadi namaliza biz ya mchawi Nikingoja kuona witchdoctor Marsabit Kuna masaa beat hunishow: "Samahani" Nikianza kuimada kama dish kwa sahani Nakam kuisanif kuwaachia mali safi Raia wata-sample hii kejani na kwa mbali Ongeza debe Ongeza debe Ongeza debe Ongeza debe wakipunguza (Ongeza debe wakipunguza) Ehem Scar niko, mi sibadiliki Na niko ivo na sijachapa bangi wiki Mi niko macho, mi sibabaiki Na mi napenda Hussle bado mi sijabury Nipsey Aye, broski R.I.P Hata ka ni risky, bado boss ana-insist Saa zingine ni fiti kujifanya fala hii street Shida yangu kubwa ni mimi, but can I see Oh, oh, oh-oh, ongeza debe Mi ntakam solo, we unaeza ongeza rende Kama sio mchoro ya mkwanja eleza uende Na sistako ananimezea, we meza wembe Na na-live life it's like imeshajipa Ni yule Mr. Riz Mangwai ka hujanyita Design zimeni-nice nikiskiza zimenishika Nime-miss East by now ni miezi sita Ongeza debe Ongeza debe Ongeza debe Ongeza debe wakipunguza (Ongeza debe wakipunguza) Sawa, ongeza decibel, chunisha JBL Hadi neighbor alete NACADA waipunguze Songesha mwili ni kama uko under influence Ya ki Red makali na ki Lucozade Main man, mi si sub, but niko baze Mambleina husaka sub wakuni-replace Naleta action kaa CMB President Na ma-veteran wanajua mimi ndio next Chief connect, ukidai mali safi Na-bring peace kwa back ni kama in the '90s Mi na Scar ni ma-pro kwa hii kazi So rewind the track na uongeze kiasi Ongeza debe Ongeza debe Ongeza debe Ongeza debe wakipunguza (Ongeza debe wakipunguza)