I want I want I want this girl to come and dance with me Like so, like so, Like so, Like so, Like so, like so Eh Nikikazana na Shule Nilikazanga ma Shoe lace nikafunge Saa hii na Turn Up ndani ya club hata on a Tuesday Ndio kila saa utapata na papasa ka Shuthe Passa Passa dancer Me ni mtu tu ma Two Step Mafisi wako rada ya ma haga na ma cute face Na binti anakaa ni kama ye ni star wa Movie Mwili amebeba kama nganya ya bure Itabidi hata bill ikizidi Waiter atumwe Beer mbili baridi na glass ya Champagne for the girl dem Kiti haikaliki Mami aki dance for the man dem Akili imechizi naona after club ni mathare Akinikatikia hivi Usiku yote hadi ngwaree I Want, I Want, I want this girl to come and dance with me Like so, like so, Like so, Like so, Like so, like so Magal dem watamaliza the Mandem Sijalipa rent Washa nimalizia mshande Juu Monday to Monday, niweke Clande, Mtofauti Kwa budget plus na beste yake Itabaki nipange Mpango wangu wa Kando Juu hawa ma gal dem wako fine kama salama Nawapiga Kiswahili, kaa Mtalamu Na sijatoka Area za Malindi ama Lamu Akin ng'orea namchorea kaa Kalamu Halafu Songea Beste yake na How are you? Natupa lugha niki order tu ma ng'ang'u Badae badae nakafunga kaa Karau I Want, I Want I want this girl to come and dance with me Like so, like so, Like so, Like so, Like so, like so Ananimaliza maliza na Ka figure aki katika Majaliwa hata niambia ame marika marika Juu ame Pakishi ma ninja wote wamemkaribia But, najiaminia ka ki Track ya Nyashinski Kwanza nikichanganyisha Balee na ma shot za whisky Najipata nisha Manage kumsongeshea Kiti Nikimchangamsha pale na Shots ka mbili Mfuko ikule damage, ma deni zizidii Ma Shida badae, Brathe iko nini Juu Ana assets on assets, kaa budget ya Nchi Namkulisha the language, aingie Box vifiti Mpaka apige danse anirombosee mwili I Want, I Want I want this girl to come and dance with me Like so, like so, Like so, Like so, Like so, like so