Kishore Kumar Hits

Chris Kaiga - Kanyagia şarkı sözleri

Sanatçı: Chris Kaiga

albüm: Adventures of Chris Kaiga


Ati, wakanyagie na slippers

High heels na Timber

Kila aina ya sneaker

Wakanyagie na slippers
High heels, maTimber, Nike, Adidas
Kila aina ya sneaker kanyagia
Ka riba si ya bizna
Raia keep distance stori weka Insta
Itabidi wametulia tu, wakininyatu
Niko ndani ya booth ka mguu ndani ya kiatu
Na nimepiga luku tu sijakimbia tu
Na nimavaa matimba ju na kanyagia tu
Mastori za upuzi na
Kanyagia (kanyagia) kanyagia (kanyagia) kanyagia
Watu hujifanya wajuzi
Nawakanyagia (kanyagia) kanyagia (kanyagia) kanyagia
Ka umejazwa na kichuki na ku
Kanyagia (kanyagia) kanyagia (kanyagia) kanyagia
Kumwagia jina yangu chumvi brathe
Kanyagia (kanyagia) kanyagia (kanyagia) kanyagia
Ati rumours are spreading
Brathe maintain
Usiamini kila kitu unasomanga kwa mneti
Ni kugenje punguza kelele ka si necessary
Si unajua stori ya mkebe ikiwa empty nani
Kiatu itembezwe ka stori haiinvolve biz
Punguza kasheshe na uachane na showbiz
Showbiz genje niongeze manoti ndani ya pori
Wakanyagie na slippers
High heels, maTimber, Nike, Adidas
Kila aina ya sneaker kanyagia
Ka riba si ya bizna
Raia keep distance stori weka Insta
Wakanyagie na slippers
High heels, maTimber, Nike, Adidas
Kila aina ya sneaker kanyagia
Ka riba si ya bizna
Raia keep distance stori weka Insta
Ah, unabonga sana hauchoki kuongea
Umejulikana haukosi kwa umbea
Maskio yako ka story za jirani tuu
Macho yako na udaku ka miwani juu
Ah, antenna imepanda juu sana
Nipigie ka tunaongea mkwanja tu
Rada mi nashughulikia yangu tu
Stevie Wonder kwa vitanda silaliangi juu
So mastori za ufala unaweza
Kanyagia (kanyagia) kanyagia (kanyagia)
Kanyagia bado shingo za marapper mi na
Kanyagia (kanyagia) kanyagia (kanyagia) kanyagia
Last year niliona manyoka nika
Kanyagia (kanyagia) kanyagia (kanyagia) kanyagia
Adui yako atakusoma buda
Kanyagia (kanyagia) kanyagia (kanyagia) kanyagia
Yeah, cheki romours are spreading
Ka si udaku kwani hatuwezi tunga sentensi?
Mdomo zao zinafunguka tu ka mfereji
Ikifika time ya insides cooper hamchelewi
Upepelezi
Na tukiongea ukweli
Mastori hazitauza bila chumvi kwa mneti
So ka we kama hupendi funga macho usicheki
Ras hii mambo bana haieleweki, kanyagia!

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar