Kishore Kumar Hits

Chris Kaiga - Kengele şarkı sözleri

Sanatçı: Chris Kaiga

albüm: Adventures of Chris Kaiga


(Ayi!)
(Ati? Ati nini wewe?)
(Sawa)
(Kelele, kelele!)
Naskia manduru na mashangwe na makelele
(Woo! Mashangwe na makelele)
Toka mandugu na madada wana wetete
(Ati? Madada wana wetete)
Ambia waiter tuko huku na ma-glass empty (bana)
(Tuko huku na ma-glass empty)
Na tunangoja zitupige kama kengele
(Zitupige kama kengele)
Vipi famalan? Form ya leo ni walalal?
Toa form ni-perform kama acrobat
Cheza na Beamer na-come na magala
Wale wameiva pamoja na mzinga
Baadae zikishika tucheze na six-pack kadhaa
Mizinga kadhaa
Ndani ya bar zitushike ka skin-tight
All night hadi wazime ma-streetslights
Badilisha plus-size tu a slim-type
Namsugua hadi namuacha streamlined
Tonight (tonight) mafisi wana-hunt for ma-feline (feline)
Rare itatembea angle inclined (inclined)
ATM zitawika, "Declined!" (declined)
Juu magala wana figure ziko defined (defined)
Ayi, defined (defined)
(Ghai, ghai, ghai, ghai, ghai)
Naskia manduru na mashangwe na makelele
(Ati? Mashangwe na makelele)
Toka mandugu na madada wana wetete
(Ayy, madada wana wetete)
Ambia waiter tuko huku na ma-glass empty (bana)
(Tuko huku na ma-glass empty)
Na tunangoja zitupige kama kengele
(Zitupige kama kengele)
Naskia ital (ayy), naskia irie (ayy)
Leo nawasha lighter pamoja na siren (sss)
Leo napanga kupiga tizi ya ma-bicep
Nikizipiga kama fighter na ma right-left
Na na-light dem hadi naskia enlightened
Mali swafi brathe kitu high-end
Vutia vaite supply yangu ni direct
Toa kambambe, dial 0-7-9-8
Naskia manduru na mashangwe na makelele
(Woo! Mashangwe na makelele)
Toka mandugu na madada wana wetete
(Ati? Madada wana wetete)
Ambia waiter tuko huku na maglass empty (bana)
(Tuko huku na maglass empty)
Na tunangoja zitupige kama kengele
(Zitupige kama kengele)
(Bana)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar