Afraid to tell him how she feels She silently whispers to herself Afraid Holding her breath Maybe he might hear her See he doesn't feel the same way Maybe Hart the Band Lady Jaydee Aiii Nikajakupenda na moyo wangu wote Binti huyu aliyenifanya nimuote Usiku na mchana nikawa nikama nimepagawa Sionekani popote Nikajakutenda mambo mengi magumu na mazito Ili mradi niwe naye Lakini sasa ninapotazama naona kwamba Niliachwa upekwe Nilikuwa na Wingii wa mahaba Nilikupenda kinyama Kukutenda sikuwaza Kamba nikakazaa Lakini huonekani mpaka sasa Nilikuwa na Wingii wa mahaba Nilikupenda kinyama Kukutenda sikuwaza Kamba nikakazaa Lakini huonekani mpaka sasa Rosellaaa (Ninajiuliza) Rosellaaa (Je umebadilika) Rosellaaa (Nashindwa kuamua aaah) Rosellaaa (Ninajiuliza) Rosellaaa (Je umebadilika) Rosellaaa (Nashindwa kuamua aaah) Ni kweli niliamua kuondoka Nikidhani nitapendwa Niendapo ooh hakuna Ooh mi nilidhani nitakuta Tofauti yoyote Mpaka sasa sijaona Moyo waniuma Nikikumbuka Mambo mengi We ulionikoseaaa Najiuliza je ni kweli umebadilika Au maumivu mi nayahudia Maskini nashindwa amua Ooh nashindwa aah Najiuliza je ni kweli umebadilika Au maumivu mi nayahudia Maskini nashindwa amua Ooh nashindwa aah Rosellaaa (Ninajiuliza) Rosellaaa (Je umebadilika) Rosellaaa (Nashindwa kuamua aaah) Rosellaaa (Ninajiuliza) Rosellaaa (Je umebadilika) Rosellaaa (Nashindwa kuamua aaah) Yaani Imekuwa siku mingi sana hatujazungumza SMS zangu hurudishi Please call me zangu hunijibu Simu hushiki Na najua huwezi kuwa ni simu ulipoteza Ju social media nimeona selfie zako Na ile top flani kali nilikubuyia ya dashiki Kweli nikukumiss nimekumiss tena sana Na najua umenimiss pia Unanilenga tu ju tulikosana Ego yako iko juu ulikuwanga dem wa maringo lakini siteti Nilikupendanga tu hivo hivo Na ni tangu unitoke stress iko juu tu sana Sura imejaza tu mawrinkles Kila time najipata nimekasirikia vitu simple simple Ata jokes na mapimples nacatch Wao wakishow tu madimples Yaani kosa walisema si kosa Kosa ni kurudia kosa Na najua unajua ulikosa but huwezi kubali umekosea Nishakuzoea Ni sawa tu nimekusamehea Unaact selfish but kuishi bila wewe machozi mi siwezi Daily kukula kwa hoteli si unajua me ni mlazy Malkia Smile tamu crescent shape ya mwezi Sipendi tukikosana Napenda tukichora saba kwa saba love heart Si unajua nakupenda tu kwa sana Pamoja tembea Dar Kenya Moshi Arusha tunajirusharusha spending Karibu Dolce Gabbana Mwanaume si unajua ni kujikaza shopping maspaghetti crop Nine months later baby shower na pamper Love imeshika rada Ladha Firstborn anakaribisha brother Twende nyumbani nikuintroduce kwa mother Mrasta ameshapata the other Rosellaaa (Ninajiuliza) Rosellaaa (Je umebadilika) Rosellaaa (Nashindwa kuamua aaah) Rosellaaa (Ninajiuliza) Rosellaaa (Je umebadilika) Rosellaaa (Nashindwa kuamua aaah)