Kishore Kumar Hits

H_art the Band - Freshy şarkı sözleri

Sanatçı: H_art the Band

albüm: Freshy


Nah nah nah nah mmh
Freshy, freshy, freshy nah nah nah
We all need somebody dada
Call me I will come running
Vako zako za summer bunny dada
Zimenibamba zaidi ya wale
Baby I love the way when you going down
Ukicheza kakitu twisty kilunda
Napenda nikikuchezea kinanda mama
Nitakulinda kama Wakanda Forever
Maselina super silana
You give me na na inachizisha
Unabaki shingo kupinda
Kwanza hio rinda ikitingika
Freshy! Na ukicheza nitacheza
Freshy! Na ukisonga nitasonga
Freshy! Karibia tusakate densi
Wacha ikuwe kesi
Nah nah nah... nah nah nah
Nah nah nah... nah nah nah
Nah nah nah... nah nah nah
Nah nah nah
Freshy! Oh vuyanzi mwana niko na wewe
Zituwai show kwa morio wangu na wewe
Umenipa pendo tangu jadi hadi wa leo
Tumevuka trouble nyingi tukiwa mavileo
Sasa wamefuata penzi letu kwa mitandao
Tumekuwa mfano wanatangaza kwa redio
Penzi letu limepita yote majaribio
Mambo yetu hayawahusu ndewe wala sikio
Yoh yoh yoh hata tukikula chapo ndondo
Bado love iko moto moto
Maneno tam tam na matendo
Huo ndo mtindo
Freshy! Na ukicheza nitacheza
Freshy! Na ukisonga nitasonga
Freshy! Karibia tusakate densi
Wacha ikuwe kesi
Nah nah nah... nah nah nah
Nah nah nah... nah nah nah
Nah nah nah... nah nah nah
Nah nah nah
Freshy! We ni Mekatilili wa Menza
A super woman and a wonder woman
Na spear ulipeleka wapi my woman
Nataka tu-hunt tuhame ringa
Nataka wewe uko cumbersome
Beer mbili troublesome
Toto penting kusota haram
Anataka Alenjandro anataka bam bam
Lakini uko na tabia weird
Fan wa Selina na Maria (Uwongo)
Ukwaju plus bhajia (Ni tamu)
Sunday service Lejo Maria
Freshy! Na ukicheza nitacheza
Freshy! Na ukisonga nitasonga
Freshy! Karibia tusakate densi
Wacha ikuwe kesi
Nah nah nah... nah nah nah
Nah nah nah... nah nah nah
Nah nah nah... nah nah nah
Nah nah nah

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar