Kishore Kumar Hits

H_art the Band - KELELE şarkı sözleri

Sanatçı: H_art the Band

albüm: PARTY TIME


Gaaang!
It's a Party Time
H_art The Band
Are you ready
1, 2, Kelele Kelele
Kelele kelele kelele kelele
Leo tunaleta
Kelele kelele kelele kelele
Dj ongeza hewa
Mi mkali ka pilipili
Mistari zangu safi zinasafisha akili
Hata bila koti ninabamba mawakili
Kimwili sijakonda nimenona kiakili
Usitafute bassman juu nishaawasili
Kila time Niko area kama sajili
Hii ni Mali asili
Sio vitu silly
Mi mtamu labda tu nibonge na asali
Kama kuku ni ndege basi samaki ni meli
Sina time sina time sina time
Ya kupoteza
Mida mida zetu zimefika
Dj MadLion hewa ongeza
Sina time sina time sina time
Ya kupoteza
Mida mida zetu zimefika
Dj MadLion hewa ongeza
Maisha ni majira
Leo kuna jua kesho kuna mvua
Hata mchezo wa mpira
Leo unashinda kesho unashindwa
Tumekuja ka tushaachoma
Leo hapa sisi ndio macustomer
Na mifuko zimeshonashona
Waiter unatuweka
Sina time sina time sina time
Ya kupoteza
Mida mida zetu zimefika
Dj MadLion hewa ongeza
Sina time sina time sina time
Ya kupoteza
Mida mida zetu zimefika
Dj MadLion hewa ongeza
I know you wanna gerrit
Niko na cash mi sideal na macredit
Hii ni real and you know that I said it
I love the way you wine my baby
Baby come over, tukiseti in my RangeRover
Twende all over, roho yangu umetake over
Baby come over, tukiseti in my RangeRover
Ni wewe nangoja, nyumbani twende pamoja
Kelele kelele kelele kelele
Leo tunaleta
Kelele kelele kelele kelele
Dj ongeza hewa
Sina time sina time sina time
Ya kupoteza
Mida mida zetu zimefika
Dj MadLion hewa ongeza
Sina time sina time sina time
Ya kupoteza
Mida mida zetu zimefika
Dj MadLion hewa ongeza

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar