Aaaaaah Aaaaaah Nipeni nafasi, yashakuwa shubiri Jamani basi, ushachoka wangu moyo Siamini ulivyo nitenda Nakupiga redi kadi We nenda mwana kuenda Sikudhania utarudia Nikatarajia utayaacha Meshafika mwisho wa hii kamba Na nguvu mi sina Niling'ang'ania kurudia Kakupigania kila vita Sasa nalia sina raha Mifupa tu hata nyama sina Aaaaah nipe nafasi ooh Aaaaah nipe nafasi ooh Nimechoka mimi,nipe nafasi ooh Niache-che niende,nipe nafasi ooh Aaaah ooh,nateseka Ahadi kwa altari, tukianza safari Kufa kuzikana Ukaanza kejeli We huna dosari, mi ndo wa laana Pile en fitina okaywe, Okang'eyo meaning mar kwe Acha nijitoe mzima, kabla nipimishwe sanda Kila siku kelele, sijui tena maana ya sherehe Acha nijitoe mzima, kabla nipimishwe sanda Niling'ang'ania kurudia Kakupigania kila vita Sasa nalia sina raha Mifupa tu hata nyama sina Aaaaah nipe nafasi ooh Aaaaah nipe nafasi ooh Nimechoka mimi,nipe nafasi ooh Niache-che niende,nipe nafasi ooh Gima chako nigi giko mama Nipe nafasi oooh Kata kodiaga dhano wuok Mia thuolo oooh Nimefika tamati mpenzi nakuachilia An ti iweya adhi na mema nakutakia