Aaaah Mutoto ya Pamela Naskia kelele kwa jirani Kwani ni vita Ama hii ni raha gani Mwengine anasema aaah Mwengine anasema uuuh Kwani mapenzi imegeuzwa kuwa kungfu Na vile kwangu kunabore Naskiza mafranco Hii ploti itanifanya niwe whore Action night Watoto walale by 9 Nikudunge vaccine Leo movie ni ya shaolin Vita vya kikungfu kungfu Dj Afro kuja utangaze drama Vita vya kichinku chinku Kabla mechi ianze mgongo ntakukanda Tumefungana pingu pingu Moja kwa mguu nyingine kwa kitanda Okello Mano kungfu kungfu Bien Mena kungfu kungfu Woi woi mama Woi Woi mama Unazunguka kama nyoka, Anaconda Woi Woi mama Woi Woi mama Unateleza kama mrenda, Haki nimependa Kiss it better vile napenda Mix ya broiler na kienyeji vibes Hebu geuza oh Cheriè samaki hailiwi pande moja Action time Action night Ufike kwangu by 9 Nimetema taxin Amenyoa shaolin Vita vya kikungfu kungfu Dj Afro kuja utangaze drama Vita vya kichinku chinku Kabla mechi ianze mgongo ntakukanda Tumefungana pingu pingu Moja kwa mguu nyingine kwa kitanda Okello Mano kungfu kungfu Sudah Mano kungfu kungfu Cheriè nipeleke Thailand Na mimi nikupeleke Bangkok, yeah Tuishi juu ya island Tuishi maisha ya kibailando, yeah Kuja tufanye mambo mambo Nikukunje nikufunze angle angle Movie na soundtrack ya Bango bango Action unapewa ni ya Rambo Action night Ufike kwangu by 9 Nimetema taxin Amenyoa shaolin Vita vya kikungfu kungfu Dj Afro kuja utangaze drama Vita vya kichinku chinku Kabla mechi ianze mgongo ntakukanda Tumefungana pingu pingu Moja kwa mguu nyingine kwa kitanda Sudah Mano kungfu kungfu Bien-iame a kungfu kungfu Okello Mano kungfu kungfu