Hi ni pepe, kaa barua hua Sio ma Pepe ya Martha karua Tangu ni vishe Pete, Nyani sijauwa Lazima ni pepete, iwe jua ou mvua Mi kwangu dem Sura tabia tutarekebisha Na size pia hu matter I sey, acha kubisha Ebu ambia jirani aweke pazia kwa drisha Juu nikona patrisha Alicia tuna bingrisha Unafanya mi ni imbe injili Unafanya ni si nyonge tumbili Unafanya mi ni imbe injili Unafanya ni si nyonge tumbili Come beiby come nikupe Gengetone love Uuh beibe, Gengetone love Kwama kama kupe nikupee Gengetone love, love, loove Gengetone love Come beiby come nikupe Gengetone love Uuh beibe, Gengetone love Kwama kama kupe nikupee Gengetone love, love, loove Gengetone love Kaa mapenzi ni kipofu, Mimi ndio stick Wengine wako walk off mi Nita stick Hii sio juju Kamote, yangu ni stick How can I breath, na simu haupick Nakufikiria zaidi ya vile nasahau Mapenzi ni safari na ushakula fare Wow, how, haki unanifanya how Nimetupa rada imebaki nitupe mbao Unafanya mi ni imbe injili Unafanya ni si nyonge tumbili Unafanya mi ni imbe injili Unafanya ni si nyonge tumbili Come beiby come nikupe Gengetone love Uuh beibe, Gengetone love Kwama kama kupe nikupee Gengetone love, love, loove Gengetone love Kwama kama kupe nikupee Gengetone love, love, loove Gengetone love Adisia sia love pills nikachoke Utanyonga joint kwanza ama cork Looo, umenigusa loo Skiza punchlines si kelele za john (Aah) Kes ni kes si budako ni Thegi joh Mosh ni mosh utavuta gani joh Drunk inlove niko tipsy na staga Vi addictive, Attractive na go mimi Gugu gaga Unafanya mi ni imbe injili Unafanya ni si nyonge tumbili Unafanya mi ni imbe injili Unafanya ni si nyonge tumbili Come beiby come nikupe Gengetone love Uuh beibe, Gengetone love Kwama kama kupe nikupee Gengetone love, love, loove Gengetone love Come beiby come nikupe Gengetone love Uuh beibe, Gengetone love Kwama kama kupe nikupee Gengetone love, love, loove Gengetone love