Kishore Kumar Hits

Bridget Blue - Kumama şarkı sözleri

Sanatçı: Bridget Blue

albüm: Mash Up


Azwa nga bomwana, kumama papa eeh
Eeh Yahweh kumama papa eeh
Kisi ya soni, kumama papa eeh
Eeh Yahweh kumama papa eeh
Moyo wangu wakupenda we wajua
Moyo wangu wakuinua tazama
Kwa kinywa changu nakusifu Baba yangu
Upendo wangu mi nakupa Baba
Umeiweza roho yangu Yesu umeiweza
Umeiweza roho yangu Yesu umeniweza
Umeiweza roho yangu Yesu umeiweza
Umeiweza roho yangu Yesu umeniweza
Tumeuona, mkono wako Bwana
Matendo yako Baba ni makuu mno
Umetutoa mbali
Ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi
Chini hata juu
Watu unawainua
Sifa na utukufu ni zako milele
Twasifu jina lako
Milele tutakusifu
Daima we umwema tutaishi kwako

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Je

2020 · single

Benzer Sanatçılar