Ile kitu wewe hufanya Inafanya niskie kufanya ile kitu (Sol Generation) Ile kitu wewe hufanya Inafanya niskie kufanya ile kitu Fanya ile kitu wewe hufanya Inafanya niskie kufanya ile kitu Ile kitu wewe hufanya Inafanya niskie kufanya ile kitu Ile kitu iko na kitu Inanifanya niskie niko mavitu Ukiendelea utasimamisha jitu Nifanye vile mimi hufanyia chipo mwitu Uko na swali niko na jibu Reggee, Rhumba, yes, me too Nguo, see-through, I can see you Mambo yangu, yeah And I know, and I know (Yes I know)) Umekuja ukiwa commando Ukinishika sitasema no (Sitasema no) Oh no On the low, on the low (On the low, low) Nimekudigi toka kitambo Zikishika basi let us go Let's go Ile kitu wewe hufanya Inafanya niskie kufanya ile kitu Ile kitu wewe hufanya Inafanya niskie kufanya ile kitu Fanya ile kitu wewe hufanya Inafanya niskie kufanya ile kitu Ile kitu wewe hufanya Inafanya niskie kufanya ile kitu Mwanaume akiridhika amesharidhika Na pahali tumefika umeshanizika Umeshanishika, zimeshanishika Najua bila wewe mimi sijakamilika 'Cause you're a peng ting girl Unavyotingika fimbo imerise Jasho inamwagika Umeniweka kwenye zone I wanna be with you alone, yeah And I know, yes, I know (I know) Umekuja ukiwa commando (Commando) Ukinishika sitasema no Oh no 'Cause on the low, on the low Nimekudigi toka kitambo Zikishika basi let us go Let's go Ile kitu wewe hufanya Inafanya niskie kufanya ile kitu Ile kitu wewe hufanya Inafanya niskie kufanya ile kitu Fanya ile kitu wewe hufanya Inafanya niskie kufanya ile kitu Ile kitu wewe hufanya Inafanya niskie kufanya ile kitu We doin' it, we doin' it, we doin' it again We doin' it, we doin' it, we doin' it again Suda, and Kaskazini On the, on the, on the Sol generation Fanya fujo fujo, nikute mama Oh, mama, mama, mama, mama Fanya tena mama