Eeh Mpenzi we usiwe na mashaka Ingawa mashida kesho tutatoboa Nikiwa kwa raha tufurahi pamoja Nami napo lia we wanipa faraja mama Ntala nawe, ntala nawe Kwenye shida ama kwenye furaha Mi ntala nawe, ntala nawe Kwenye jua ama kwenye mvua Ona nyota zetu zinavyometameta Na ukitabasamu unatabasamu sana Nikiwa kwa giza unakuwa mwangaza Tuliyopitia umenivumilia Dada ntala nawe, ntala nawe Kwenye shida ama kwenye furaha Mi ntala nawe, ntala nawe Kwenye jua ama kwenye mvua Mi ntala nawe, ntala nawe Kwenye shida ama kwenye furaha Ooh mi ntala nawe, ntala nawe Kwenye jua ama kwenye mvua Ntala nawe, ntala nawe Kwenye shida ama kwenye furaha dada Mi ntala nawe, ntala nawe Kwenye jua ama kwenye mvua (Kwenye jua ama kwenye mvua)