Kishore Kumar Hits

Bensoul - Sugar Rush şarkı sözleri

Sanatçı: Bensoul

albüm: Medicine


Je unakumbuka
Kule tumetoka
Miaka imepita yeah (my love)
Ona vile picha (mmmh)
Jua likitua
Nyota zinatangaza
Kuwa nakupenda
Na wewe unajua
Unajua mama ma
Mama my love
We ndo raha yangu
We ndo furaha yangu
My sugar my sugar rush
Wewe ndo raha yangu
We ndo furaha yangu
Mwanga wangu
Furaha yangu
Raha yangu
Je ungependa (mmmh)
Tuonane tena
Ju mi huku-miss sana (my love)
Kila siku nakuwaza (oooh yeah)
Jua likitua
Mwezi utatangaza
Bado nakupenda
Wewe unajua
Unajua mama ma
Mama my love
We ndo raha yangu
We ndo furaha yangu
My sugar, my sugar rush
Wewe ndo raha yangu
We ndo furaha yangu
Mwanga wangu
(Uyee uyele uyelelele)
Furaha yangu, raha yangu
(Uyee uyele uyelelele)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar