Kishore Kumar Hits

Bensoul - Napepea şarkı sözleri

Sanatçı: Bensoul

albüm: The Lion of Sudah


Oh-ooh
Aki mapenzi ya Pwani utaweza wewe?
Sudah
Mombasani, Kongowea
Nilipatanana na Leah
Vitu tamu akanipea
Vitu mi sijazoea
Biryani ya top layer
Avocado ongezea
Moyoni naogelea (ah-ah-ah)
Na kwanza tukipendana
Napepea
Kwanza zetu zikiguzana mama
Sijazoea
Ma mama
Na, napepea
Tukipendana
Sijazoea
Na, na, na
Na, napepea
Tukiguzana
Sijazoea
Umenipandisha mpaka wingu la tisa
Pale umeshika, vile umeshika mama (ah, ah)
Umeshikanisha sita na tisa, baby
Basi niambie ukifika tufike pamoja my love
Na, na, na, na, na, na
Na, napepea
Tukipendana
Sijazoea
Na, na, na
Na, napepea
Tukiguzana
Sijazoea
Na, na, na
Na, napepea
Na, na, na
Sijazoea (na, na, na, na)
Na, na, na, na, na
Na, na, na, na, na
Na, na, na, na, na
Na, napepea
Tukipendana mama
Sijazoea
Na, na, na, na, na

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar